Author: Geofrey Stephen

Moses Mashalla,Arumeru Serikali inatarajia kupelekea jumla ya kiasi cha sh,50 milioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za madaktari katika zahanati ya Kikatiti ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan aliichangia sh,10 milioni mwishoni mwa mwaka Jana. Zahanati hiyo kwa Sasa ujenzi wake unafadhiliwa na shirika la misaada la Kikorea la CTSI ambapo limetoa zaidi ya kiasi cha sh,100 kugharamia ujenzi wake huku wananchi wakichangia kiasi cha sh,63 milioni ambapo pia shirika hilo lilisaini makubaliano ya ushirikiano(MOU) baina yake na halmashauri ya Meru. Akizindua zahanati hiyo hivi karibuni naibu waziri ya afya nchini,Dkt Godwin Mollel…

Read More

Wananchi wa kata ya Daraja Mbili jijini Arusha kwa pamoja wamekubaliana na kauli za Viongozi wao wa kata Akiwemo Mh Diwani wa kata Hiyo Prosper Msofe na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo kubomoa Nyumba zao Wenyewe kupisha bara bara ya Lami Wakizungumza na vyombo vya Habari wananchi hao wamesema wamekubaliana kwa kauli moja kubomoa nyumba zao pembe zoni mwa bara bara kupisha ujenzi wa bara ya kiwango cha lami inayo fadhiliwa na World Bank Wananchi hao wamesema wamefuraishwa na jitiada za Mh Rais kuwaletea Maendeleo katika kata jambo ambalo linaleta maendeleo katika kazibya kata na wananchi…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha.Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na makosa nane katika kesi mbili za uhujumu uchumi. Leo Juni 17, 2022 Pima na wenzake watatu Innocent Maduhu (aliyekuwa mchumi wa Jiji), Nuru Ginana (mchumi), Alex Daniel (mchumi), wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Bittony Mwakisu na kusomewa mashitaka naneo kwenye kesi mbili tofauti za uhujumu uchumi. Mbali na washitakiwa hao wanne, mshitakiwa mwingine ni Mariam Mshana ambaye alikuwa Mwekahazina wa Jiji hilo ambaye hakuwepo mahakamani hapo, ambapo upande wa Jamhuri umeiomba mahakama kutoa…

Read More

Na Geofrey Stephen_ Arusha Wanawake kutoka Nchi mbalimbali za Afrika zikiwemo nchi uanachama zinazo unda Jumuiya ya Afrika Mashariki ( EAC ), SADIC, COMESA na ECOWAS wametakiwa kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi hasa katika uongozi wa kisiasa katika Nchi zao ili kuweka usawa katika nyanja ya uongozi. Hayo yameelezwa na Mhe, Anastazia Wambura, Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Mtwara wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa wanawake viongozi Jijini Arusha, kwa niaba ya Spika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tulia Ackson, Mkutano huo unaofanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa bunge wa EAC, Lengo kubwa…

Read More