Author: Geofrey Stephen

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Gilbert Kalima Amewataka wale wote wenye sifa za kugombea kujitokeza kuomba nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho na kuacha kuendelea kutumiwa Kwa maslahi ya viongozi wachache wanaotaka madaraka. Aidha ameeleza kwamba viongozi wapya wa matawi wa Jumuiya hiyo tunataka kuona jumuiya ikimarika kiuchumi kwa kila mkoa kuhakikisha iongoze na ijipange kuimarika kiuchumi. Kalima Ameyasema hayo alipokuwa akiongea na viongozi wa Baraza kuu la mkoa wa Arusha katika ukumbi wa CCM mkoa Jijini Arusha ambao aliitaka Jumuiya ya Wazazi kuwa ya mfano kwa tuwe uadilifu na wmfano kwa Jumuiya zengine katika kukiimarisha chama…

Read More

Na Mwandisho wa A24Tv Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akishuka kwenye gari la Magereza akiingia Mahakamani Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeahirisha hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita kutokana na Hakimu kuwa na majukumu mengine.  Akiahirisha kesi hiyo leo Jumanne Mei 31, 2022, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Fadhil Mbelwa amesema shauri lilipangwa kwa ajili ya hukumu ila hakimu aliyekuwa akiisikiliza amepangiwa majukumu mengine ya kikazi nje ya ofisi. “Shauri linakuja kwa ajili ya hukumu na liko kwa…

Read More

WADAU wa utalii kutoka nchi 38 duniani wamethibitisha kushiriki maonyesho ya kimataifa ya Karibu-Kili Fair yanayotarajiwa kuanza Juni 3 hadi 5 mwaka huu mkoani Arusha. Akizungumza jijini Arusha, Mkurugenzi wa Kilifair Ltd ambao ndio waandaaji wa maonyesho hayo, Dominic Shoo,alisema lengo la maonyesho hayo kutangaza vivutio vilivyopo nchini. Alisema mbali na nchi hizo akithibitisha ushiriki wao,pia waonyeshaji kwenye mabanda kutoka nchi 12 watashiriki. “Mwaka huu tumepata urahisi wa kupata wageni mbalimbali duniani, sababu ya Royal Tour aliyofanya Rais Samia Suluhu Hassan imetusaidia kuitangaza nchi,hivyo Dunia inafahamu Tanzania,”alisema. Alisema onyesho hilo litakuwa la kipekee, baada ya Dunia kukumbwa na janga la…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv Arusha Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema mitambo iliyopo katika Kiwanda cha Kilimanjaro Machine tools (KMTC) iko salama na inaendelea kufanya kazi ya uzalishaji wa vipuri na mashine mbalimbali wakati maboresho ya kuendesha mitambo hiyo kielektroniki yanaendelea. Waziri Kijaji ameyasema hayo alipofanya ziara katika Kiwanda cha KMTC kichopo Moshi Mkoani Kilimanjaro Mei 29, 2022 kujionea jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi na mikakati iliyopo ya kukifufua ili kifanye kazi kwa ufanisi na kuzalisha bidhaa zinazokidhi mahitaji ya soko kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara…

Read More

Happy Lazaro,mwananchi Arusha.Hospitali ya Mtakatifu Elizabeth (kwa pandre Babu) Ngarenaro wamejipanga kuboresha miundombinu katika hospitali hiyo kwa kujenga jengo la ghorofa nne ili kuweza kuhudumia wananchi wengi zaidi kulingana na uhitaji mkubwa uliopo. Hayo yalisemwa Jijini Arusha na Mganga Mkuu wa hospital hiyo, Dokta Rohela Kaseriani wakati akizungumzia mikakati mbalimbali katika kuboresha hospitali hiyo ili iweze kuhudumia wananchi wengi zaidi na kutoa huduma mbalimbali za muhimu ambazo hazikuwepo. Alisema kuwa ,hospitali hiyo ambayo ilianza mwaka 1974 Kama zahanati, 1984 ilipandishwa daraja na kuwa hosptali ambapo mwaka 2011 iliteuliwa na kuwa hospitali teule ya Jiji la Arusha,huku ikitoa huduma zote kama…

Read More