Author: Geofrey Stephen

Na Bahati Siha . Wananchi wa Kata ya Livishi Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro ,wametakiwa kujipanga vizuri ili kuweza kupata Viongozi wenye maono ya maendeleao katika uchunguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika November 27 mwaka huu Haya yamejiri kwenye mkutano wa hadhara wa Kijiji cha Mowo njamu uliofanyika katika ofisi kijiji hicho na kuhudhuriwa na Viongozi mbalibali wa Serikali pamoja na wadau wengine wa maendeleao ambapo ulijadili hangamoto na mafanikio ya eneo hilo. Mtendaji wa kata hiyo, Elineema Mmari,Akizungumza katika mkutano huo amewataka Wananchi wa eneo hilo kuchagua viongozi watakao waletea maendeleao ya kukuza uchumi wa Taifa Mmari amesema kabla…

Read More

Na Bahati Siha . Baraza la Waislmu Tanzania (BAKWATA),Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro,limesema litaanza kuwapiga msasa Walimu wote wa Madrasa Wilayani humo namna bora ya usomaji Quraan Tukufu ili kuwe na tija kwa wanafunzi na kushiriki mashindano ya kimataifa Haya yamesemwa leo na Sheikh wa Wilaya hiyo Abubakar Hashimu, katika kikao maalumu kwa ajili ya kutathimini mashindano ya usomaji Quraan yaliyofanyika uwanja wa Benjamin Mkalipa Dar es salam hivi karibuni , ambapo baadhi ya Waumini kutoka Mkoa wa Kilimanjaro walifika katika tukio hilo. Akizungumza na Waumini mbali mbali waliofika kwenye kikao hicho kilichofanyika eneo la Msikiti wa SanyaJuu ambapo…

Read More

Na Mosses Mashala Zanzibar . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemtembelea Mzee Haji Ussi Haji Gavu, Mwenyekiti Mstaafu wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja, nyumbani kwake Michamvi Msuakini, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja. Rais Dk. Mwinyi ameendelea na utaratibu wake wa kuwatembelea na kuwafariji wananchi katika maeneo mbalimbali. 📍Mkoa wa Kusini Unguja

Read More