Author: Geofrey Stephen

Na Bahati Hai, Katika kusherekea Maulidi ya kuzaliwa Mtume Muhamedi (SAW), Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), mkoani Kilimanjaro limekusudia kupanda miti 5000 ambayo wanauwezo wa kuimudu kuitunza ,kwa Wilaya zote mkoani hapa,ikiwa ni ibada pia kumuunga mkono Rais Samia Suluhuu Hassani katika jitihada za kutunza mazingira Haya yamesemwa leo na sheikh wa mkoa wa huo Mlewa Shaabani wakati wa uzinduzi wa zoezi la upandaji miti kimkoa ikiwa ni Maazidhimisho ya Maulidi,uliofanyika katika Zahanati ya Bomang’ombe Wilayani Hai mkoani hapa. Ambapo pia ametoa magizo kwa masheikh wa Wilaya zote mkoani hapa kusimamia na kuhakikisha miti iliyopandwa inakuwaa na kuachana na…

Read More

Na Bahati Hai, Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), mkoa wa Kilimanjaro,limesema Maulidi ya kuzaliwa Mtume Muhamedi (SAW), kimkoa yafanyika Bomang’ombe Wilayani Hai mkoani hapa Maulidi hayo ambayo yataanza Desemba 28,2024 hadi 2029 ,itatanguliwa na matukio ya kijamii ikiwamo zoezi la upandaji miti, uchangiaji damu pamoja na maonyesho ya wanafunzi yakiambatana na Michezo mbalimbali Taarifa imetolewa Desemba 23,mwaka huu na sheikh wa mkoa wa Kilimanjaro Mlewa Kimwaga wakati Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, ambapo amewataka Waumini wa Kiislamu kujitokeza kwa wingi na hata wasiokuwa Waislamu wanaopenda kheir pia wanakaribishwa. “Ni kweli kama nilivyosema tutafanya hadhara ya Maulidi…

Read More

Hai,Wakati wakristo wakitarajia kuungana na wengine Duniani kusherekea sikuu kuu za mwisho wa mwaka ikiwamo Krisimas na mwaka mpya Wametakiwa kudumisha amani na upendo pamoja na kusaidiwa watu wenye uitaji Pia kuacha kutumia sikukuu hizo kwa kutenda matendo yanayomchukuza Mungu ikiwamo kutumia dawa za kulevya kulewa na kuanza kutoa matusi hivyo na pia kuendesha vyomba vya moto kwa spidi Diwani wa kata ya Masama magharibi Mashoya Natai,aneyabainisha hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari walipotembea kata hiyo, ambapo amewaomba Wananchi kuwa na amani na upendo Kwa watu wakati wa sheree hizo. “Ni kweli nawaombeni Wananchi wa kata hii na sehemu…

Read More

Na Richard Mrusha Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amewataka Watanzania kuendelea kutumia huduma zinazotolewa na BoT kwa kuwa benki hiyo imeimarisha mifumo yake, hususan ile inayowezesha ukusanyaji wa mapato ya serikali. Tutuba ameyasema hayo siku ya Ijumaa Desemba 20, 2024 wakati ujumbe wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ulipofika katika ofisi za BoT kwa lengo la kuwapongeza na kutoa shukurani kwa Tutuba na watendaji wote walio chini ya taasisi anayoiongoza. “Kila mmoja ahakikishe anatumia mifumo iliyopo, mifumo yetu iko imara, madhubuti na haina changamoto zinazoweza kukwamisha ukusanyaji wa mapato”, ameeleza Tutuba. Amesema BoT imejipanga vizuri kuhakikisha…

Read More

Siha, Mwenyekiti wa Jumuhiya ya watumia maji mto Sanya , Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro ,Goodchance Moshi,amesema wale wote waliong’oa bikoni eneo la Tindiga la Isanja kata Nasai Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro hatua kali dhidi yao itachukuliwa ili iwe fundisho kwa wengine Kauli hiyo ameitoa wakati alipotembelea chanzo hicho cha maji Tindiga hilo la Isanja ,ambapo alishuhudia uharibifu mkubwa ambapo bikoni 17 zikiwa zimeng’olewa wasijulikana. Mwekiti huyo ambaye pia ni mjumbe wa wa Bodi bonde la Pangani,akizungumza mara baada ya kutembea eneo hilo,amesema lazima hatua za kisheria dhidi yao zitachukuliwa Kwa lengo la kuokoa chanza hicho cha maji kugeuka jangwa “Ni…

Read More