Na Geofrey Stephen Arusha Bunge la Afrika Mashariki limewapongeza na kuwaenzi Hayati Spika Mstaafu wa Uganda Mashariki Jacob Oulanya na Hayati Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki kwa kudumisha demokrasia na utawala bora. Akichangia hoja hiyo Mbunge wa Afrika Mashariki Fatuma Ndangiza amesema kwamba ipo haja kwa Bunge hilo japo hakuna sheria ikawekwa ili kuendelea kuwaenzi viongozi na kujenga Utamaduni huo. Amesema kwamba ukiangalia nchi ya Kenya imekuwa ikisifika kwa katiba bora,hapa utaona mchango mkubwa uliotolewa na Hayati Mwai Kibaki kujenga Demokrasia Wakati wa uongozi wake. Alisema viongozi hao ni wakupigiwa mfano na kuendelezwa kwa Bunge hilo kuendelea kuwaenzi kukumbuka…
Author: Geofrey Stephen
Na Geofrey Stephen Arusha WABUNGE wa bunge la Afrika Mashariki, (EALA), wamezitaka nchi wanachama kutimiza wajibu wao wa kuchangia bajeti ya jumuiya hiyo huku wakitilia mashaka kushuka kwa bajeti hiyo wakati idadi ya nchi wanachama ikiongezeka kufikia saba baada ya Jamhuri ya Kidemokradia ya Kongo kujiunga mwaka huu . Waliyasema hayo mwishoni mwa wiki nje ya bunge muda mfupi mara baada ya mwenyekiti wa baraza la mawaziri wa EAC, Betty Maina kusoma bajeti hiyo ya mwaka 2022/2023 ya dola za Marekani milioni 91.57. Wabunge hao walisema kuwa bajeti hiyo imepungua ikilinganishwa na bajeti ya mwaka uliopita ya dola za Marekani…
Na GeofreyvStephen ARUSHA Mwenyekiti wa Kamati ya Mawasiliano Biashara na Uwekezaji wa bunge la jumiya ya Afrika Mashariki EALA , Christopher Nduwayo amezitaka nchi za Jumuiya hiyo kuzisisitiza Idara za uhamiaji za nchi zao kufuata sheria ya Jumuiya hiyo inayoelekeza suala la utoaji wa viza. Akiwasilisha Taarifa ya kamati hiyo mbele ya Bunge hilo linaloendelea makao makuu ya EAC jijini Arusha,alisema kuwa ipo haja kubwa ya kuangalia suala zima la utoaji wa viza hususani kwa wananchi wanachama ambalo lonaonekanankuwa bado linachangamoto kwa wananchi pindi wanaposafiri katika nchi hizo . Alisema kumekuwepo na changamoto ya Maafisa uhamiaji katika maeneo ya mipaka…
https://youtu.be/esNtVqhv27s Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya uwekezaji Viwanda na Biashara Dkt .Hashil Abdalah ameakikishia kiwanda uzalishaji wa sukari cha kagera sugar kuwa serikali itahakikosha inayenveneza mazingira rafiki ya kuwezesha kukua na kufanya biashara uzalishaji wa sukari Ameyasema hayo wakati wa ziara ya kamato ya kudumu ya Bunge ya Biashara viwanda na mazingira kwenye kiwanda hicho pamoja na mashamba yaliopo Mkoani Kagera .
Karibu Arusha 24Tv leo June 9, 2022,Tunakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, Hii ni A24Tv .
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa amewataka wanawake wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Jumuiya hiyo kuwaheshimu viongozi wao walioko mada dearakani na kuwataka pamoja na kuheshimu kanuni za uchaguzi. Kabaka amesema hayo Jijini Arusha wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja ambapo alipata fursa ya kufanya mkutano na wanawake wa UWT mkoa wa Arusha uliofanyika katika ukumbi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) mkoa wa Arusha. “Uchaguzi ni Demokrasia na kila mwanachama ana haki ya kuvhagua na kuchaguliwa lakini niwatake wanawake wote wenye nia ya kugombea waje kwa utaratibu,wawaheshimu viongozi wao walioko madarakani kwa kipindi…
Mwandishi Wetu,Arusha Zahanati ya Kikatiti iliyopo wilayani Arumeru Mashariki mkoani Arusha ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Hassan alitoa jumla ya kiasi cha sh,10 milioni oktoba mwaka Jana kuchochea ujenzi wake inataraji kukamilika mwishoni mwa mwezi huu. Rais Samia wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Arusha alisimama eneo la Kikatiti na kisha kusikiliza changamoto ya kukwama kwa ujenzi wa zahanati hiyo tangu mwaka 2013 ambapo alichangia fedha hizo na kuagiza mara moja ujenzi uendelee. Akizungumza na waandishi wa habari mkurugenzi wa halmashauri ya Meru,Mwalimu Zainab Makwinya alisema kwamba baada ya Rais Samia kutoa fedha hizo wao kama halmashauri…
Karibu Arusha 24Tv leo Juni 8 Mwaka 2022 Kupitia Habari Kubwa Magazeti ya Leo yalioandikwa Mbele na Nyuma Magazetibya Tanzania Hii ni A24Tv .
Na Joseph Ngilisho,Arusha Kaya zaidi ya 280 zimeathirika Kisaikolojia baada ya nyumba zao za kuishi na biashara walizojenga katika barabara Mianzini- Timbolo kuvunjwa na Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru Mkoani Arusha na kufanya kuishi kwa kubangaiza . Waathirika hao wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan aweze kuwasaidia kulipwa fidia ya shilingi bilioni 1.7 baada ya kushinda kesi mahakamani na halmashauri hiyo kushindwa kuwafidia . Nyumba 43 zilibomolewa na wananchi hao wamekuwa wakihangaika kule ya huko kutafuta haki lakini viongozi wa Halmashauri ya Arusha imekuwa ikiziba masikio na kuwaacha kama yatima na wasijue la kufanya. Ombi hilo,wamelitoa kwa Rais Samia baada ya…
Karibu Arusha 24Tv leo June 7, 2022,Tunakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, Hii ni A24Tv .