Na Mwandishi wa A24Tv Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara upande wa Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Kitovu cha teknolojia za zana za kilimo kitakachoanzishwa Wilaya ya Maswa kitaongeza tija ya uzalishaji wa mazao mbalimbali ya kilimo kuanzia maandalizi ya shamba, uvunaji na uchakataji wa mazao hayo. Dkt Hashil ameyasema hayo Juni 4, 2022 alipotembelea Jengo la raslimali za kilimo lililopo kijiji cha Mwandete Wilaya ya Maswa litakalotolewa kwa Kituo cha Zana za Kilimo na Ufundi Vijijini (CAMARTEC) kwa ajili ya kuanzisha Kitovu cha teknolojia za Kihandisi kitakachotoa huduma za mafunzo na zana za kilimo…
Author: Geofrey Stephen
Karibu Arusha 24Tv leo June 6, 2022,Tunakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, Hii ni A24Tv .
Na Joseph Ngilisho, Lushoto. Mbunge wa Jimbo la Lushoto,mkoani Tanga,Shaaban Shekilindi ameishauri serikali kukamilisha ujenzi wa barabara ya mchepuko kwa kiwango cha Lami ili kuondoa changamoto ya Mara kwa Mara inayotokana na maporomoko ya mawe kwa barabara kuu inayotoka Mombo Hadi Lushoto ambayo imekuwa kilio kikubwa kwa wafanyabiashara wa mazao na mbogamboga pindi inapoziba. Aidha ameishauri serikali kuangalia namna ya kuwachukukia hatua Kali makandarasi wanaochelewesha miradi mbalimbali ya maendeleo na kusababisha wananchi kuendelea kuteseka kwa kukosa huduma ya usafiri Katika wilaya hiyo. Shekilindi ametoa kilio hicho mwishoni mwa wiki mbele ya kiongozi wa mbio za mwenge Kitaifa,Sahili Geraruma wakati Mwenge…
Karibu Arusha 24Tv leo Jumapili juni 5 2022 Tunakukaribisha kutazama Habari kubwa ka Magazeti ya Tanzania Mbele na Nyuma Hii ni Arusha24 Tv
Juni 3/2022 ARUSHA Na Geofrey Stephen WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dk.Pindi Chana ameihakikishia Dunia sekta ya utalii nchini na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imefunguka kwa sasa,baada ya kupungua kwa janga la Uviko 19 na kuiomba kutembelea vivutio vilivyopo. Akizungumza jana wakati akifungua maonyesho ya kimataifa ya Utalii ya Karibu- Kili Fair kwa niaba ya Waziri Chana,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki alisema kwa sasa masharti yamepungua ya janga hilo na maeneo mengi yanafikika kiurahisi. “Maonyesho haya watasaidia kutangaza Dunia kuwa sasa utalii umefufuka tena kwa Tanzania na nchi za EAC na natoa wito watu wote…
Fedha za Mapango wa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhiki ya Uviko 19 zaidi ya shilingi milioni 782.5 zimeweza kuwanufaisha wakazi zaidi ya 11,048 kupata maji Safi na salama katika vijiji 11 vya Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Hayo yalisemwa Jana na Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Maji Mkoa wa Tanga(RUWASA),Injinia Erwin Sizinga mbele ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa,Sahili Geraruma muda mfupi kabla ya kuzindua miradi hiyo katika Halmashauri ya Bumbuli na Halmashauri ya Lushoto. Injinia Sizinga alisema fedha za Uviko 19 zilisaidia kupata Mkandarasi kampuni ya Mbesso Construction ya Jijini Dar es Salaam ambaye alisema kuwa mradi…
Na Geofrey Stephen,Lushoto Miradi 18 ya Elimu,Afya,Barabara na Maji yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 5.2 imezinduliwa na mbio za mwenge katika Wilaya Lushoto yenye Halmashauri mbili za Bumbuli na Lushoto Mkoani Tanga. Akisoma taarifa mbele ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Sahili Geraruma ,Mkuu wa Wilaya ya Lushoto,Kalist Lazaro alisema katika Halmashauri ya Lushoto mwenge umekimbizwa Kwa km 359 na kuzindua miradi 11 yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 3.4. Lazaro alisema katika Halmashauri ya Bumbuli Mwenge ulizindua Miradi ya Maendeleo 7 yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.8. Mkuu huyo alisema Miradi yote imezingatia…
UjumbeMkuu wa mwendesha mbio za wenge wa uhurukitaifa
Matukio ya mwenge korogwe Baadhi ya washiriki wa mbio za mwenge wakiwa katika ushiriki wa mbio hizo
, Arumeru The Standing Committee on Constitution and Law has advised college and university students in the country and social security funds to invest money for future use including self-employment capital when they graduate. Speaking to students at the University of Arusha (UOA) after a visit to the college with the aim of mobilizing students for the NSSF reserve fund, Mbeya Region Member of Parliament (CCM), Suma Fyandomo urged young people in universities in the country to use the section. of the money they get from the country’s credit board (Heslb) to save and not to enjoy. Fyandomo, said that…