Author: Geofrey Stephen

Na Geofrey Stephen,Lushoto Miradi 18 ya Elimu,Afya,Barabara na Maji yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 5.2 imezinduliwa na mbio za mwenge katika Wilaya Lushoto yenye Halmashauri mbili za Bumbuli na Lushoto Mkoani Tanga. Akisoma taarifa mbele ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Sahili Geraruma ,Mkuu wa Wilaya ya Lushoto,Kalist Lazaro alisema katika Halmashauri ya Lushoto mwenge umekimbizwa Kwa km 359 na kuzindua miradi 11 yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 3.4. Lazaro alisema katika Halmashauri ya Bumbuli Mwenge ulizindua Miradi ya Maendeleo 7 yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.8. Mkuu huyo alisema Miradi yote imezingatia…

Read More

, Arumeru The Standing Committee on Constitution and Law has advised college and university students in the country and social security funds to invest money for future use including self-employment capital when they graduate. Speaking to students at the University of Arusha (UOA) after a visit to the college with the aim of mobilizing students for the NSSF reserve fund, Mbeya Region Member of Parliament (CCM), Suma Fyandomo urged young people in universities in the country to use the section. of the money they get from the country’s credit board (Heslb) to save and not to enjoy. Fyandomo, said that…

Read More

Na JosephNgilisho,Arumeru Kamati ya kudumu ya bunge ya katiba na sheria imewashauri wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu hapa nchini kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuwekeza akiba ya fedha kwa ajili ya matumizi ya baadaye ikiwemo mitaji ya  kujiajiri pindi wanapohitimu masomo yao Akiongea na wanafunzi wa chuo kikuu cha Arusha (UOA)baada ya kutembelea chuoni hapo kwa lengo la kuhamasisha wanafunzi kujiunga na mfuko wa hifadhi wa NSSF,mbunge wa viti maalumu mkoani Mbeya(CCM),Suma Fyandomo aliwataka vijana waliopo kwenye vyuo vikuu nchini kutumia sehemu ya fedha wanazopata kutoka bodi ya mikopo nchini(Heslb) kujiwekea akiba na sio kuzifanyia starehe.…

Read More

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Gilbert Kalima Amewataka wale wote wenye sifa za kugombea kujitokeza kuomba nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho na kuacha kuendelea kutumiwa Kwa maslahi ya viongozi wachache wanaotaka madaraka. Aidha ameeleza kwamba viongozi wapya wa matawi wa Jumuiya hiyo tunataka kuona jumuiya ikimarika kiuchumi kwa kila mkoa kuhakikisha iongoze na ijipange kuimarika kiuchumi. Kalima Ameyasema hayo alipokuwa akiongea na viongozi wa Baraza kuu la mkoa wa Arusha katika ukumbi wa CCM mkoa Jijini Arusha ambao aliitaka Jumuiya ya Wazazi kuwa ya mfano kwa tuwe uadilifu na wmfano kwa Jumuiya zengine katika kukiimarisha chama…

Read More

Na Mwandisho wa A24Tv Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akishuka kwenye gari la Magereza akiingia Mahakamani Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeahirisha hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita kutokana na Hakimu kuwa na majukumu mengine.  Akiahirisha kesi hiyo leo Jumanne Mei 31, 2022, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Fadhil Mbelwa amesema shauri lilipangwa kwa ajili ya hukumu ila hakimu aliyekuwa akiisikiliza amepangiwa majukumu mengine ya kikazi nje ya ofisi. “Shauri linakuja kwa ajili ya hukumu na liko kwa…

Read More