Na Mwandishi wa A24Tv Arusha Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema mitambo iliyopo katika Kiwanda cha Kilimanjaro Machine tools (KMTC) iko salama na inaendelea kufanya kazi ya uzalishaji wa vipuri na mashine mbalimbali wakati maboresho ya kuendesha mitambo hiyo kielektroniki yanaendelea. Waziri Kijaji ameyasema hayo alipofanya ziara katika Kiwanda cha KMTC kichopo Moshi Mkoani Kilimanjaro Mei 29, 2022 kujionea jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi na mikakati iliyopo ya kukifufua ili kifanye kazi kwa ufanisi na kuzalisha bidhaa zinazokidhi mahitaji ya soko kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara…
Author: Geofrey Stephen
Karibu Arusha 24Tv leo May 30, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania,Hii ni A24Tv.
Happy Lazaro,mwananchi Arusha.Hospitali ya Mtakatifu Elizabeth (kwa pandre Babu) Ngarenaro wamejipanga kuboresha miundombinu katika hospitali hiyo kwa kujenga jengo la ghorofa nne ili kuweza kuhudumia wananchi wengi zaidi kulingana na uhitaji mkubwa uliopo. Hayo yalisemwa Jijini Arusha na Mganga Mkuu wa hospital hiyo, Dokta Rohela Kaseriani wakati akizungumzia mikakati mbalimbali katika kuboresha hospitali hiyo ili iweze kuhudumia wananchi wengi zaidi na kutoa huduma mbalimbali za muhimu ambazo hazikuwepo. Alisema kuwa ,hospitali hiyo ambayo ilianza mwaka 1974 Kama zahanati, 1984 ilipandishwa daraja na kuwa hosptali ambapo mwaka 2011 iliteuliwa na kuwa hospitali teule ya Jiji la Arusha,huku ikitoa huduma zote kama…
Na Geofrey Stephen Arusha Kanisa la kilutheri Afrika Mashariki(KKAM) limewasimika na kuwaingiza kazini watumishi wawili amabo ni mchungaji Dr Philemon Langas Molel kuwa Askofu wa Jimbo la Arusha Mashariki pamoja na mch Dr Philemon Olaisi Molel (MONABAN) kuwa Askofu msaidizi wa Jimbo Hilo . Askofu mkuu wa kanisa Hilo Askofu Osca John Olotu akizungumza katika ibada ya kuwasimika watumishi hao ;iliyofanyika maeneo ya Ngulelo ,amesema kuwa wametimiza agizo la Mungu aliloagiza la enendeni ulimwenguni mkahubiri Injili. Amesema kuwa ili kusudi Hilo litimie lazima wahubiri Injili kupitia utumishi waliopewa hivyo kupitia watumishi hao wanatarajia waumini kuongezeka na wanatarajia kufikia vijiji…
May 29, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania,
Picha za matukio mbali mbali za kusimikwa kwa Philemon Mollel Monaban kua Askofu Ibada ya kusimikwa kwa Askofu Philemon Monaba Matukio katika mbali mbali katila picha
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam May 27, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania,