Author: Geofrey Stephen

Na Bahati Hai . Hai,Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lazaro Twange amewataka Wananchi Wilayani humo kujitokeza katika zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura kuanzia December 11 mwaka huu ili wawe na sifa ya kupiga kura Haya yamesemwa na Mkuu huyo wakati wa maadhimisho miaka 63 ya uhuru wa Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa halmshauri na kuhudhuria na Wananchi, Madiwani,Wakuu wa idara pamoja na Wadau wengine wa maendeleao,ambapo ilikwenda sambamba na uchangiaji damu. Akizungumza mara baada ya kupata frusa hiyo ,amewataka Wananchi Wilayani humo kujitokeza kwa wingi ili kuweza kutimiza wajibu…

Read More

Na. Geofrey Stephen Arusha. Mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha katika kilele cha Siku kumi na sita za kupinga ukatili wa kijinsia Mkoani humo wametoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya ambao wanapatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru. Akiongea wakati wa kukabidhi mitaji hiyo kwa niaba ya Mwenyekiti wa huo, Mkuu wa Polisi Wilaya ya Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi SSP Georgina Matagi amebainisha kuwa baada ya serikali kutoa huduma ya tiba kwa warahibu hao, wameona ni vyema kuunga juhudi hizo kwa kutoa mitaji ya biashara ili iweze kuwaingizia kipato, kuwakwamua kiuchumi…

Read More

katika siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili (TAPO), Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro ya toa msaada kwa watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu kata ya Nasai Wilayani humo Siha,Jamii imeshauriwa kusaidia watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu,ili kukabiliana na wimbi la watoto kuzuzura mtaani hivyo ambapo baadhi yao ujikuta wakijiingiza kwenye makundi ya kiharifu hali ambayo inahatarisha usalama wao. Rai hiyo imetolewa Rhoda Mshomi ambaye ni Mwenyekiti wa (TAPO), Wilayani ya Siha kinachojiusisha na ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto na wanawake ,wakati wa kukabidhi misaada mbali mbali ikiwamo Michele na sabuni katika kituo cha kulelea…

Read More

Maelfu ya wakazi wa Mkoa wa Arusha wakiwa kwenye matembezi ya pamoja ya kuuombea Mkoa wa Arusha na kuiombea nchi ya Tanzania leo ikiwa ni mpango wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda @baba_keagan kwa kushirikiana na Viongozi wa dini wa Mkoa huo. Matembezi hayo yaliyoambatana na Maombi yamefanyila leo, ikiwa ni Maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara Desemba 09, 2024 Baada matembezi na Maombi Maombi, Maombi Maalum yamefanyika kwenye mnara wa saa (Clock Tower) ambapo ni kitovu cha bara la Afrika kutoka Kairo Misri mpaka Afrika ya Kusini. Kauli Mbiu “Miaka 63 ya…

Read More

Na Bahati . Ofisi ya meneja wa Wakala wa barabara mkoani Kilimanjaro (TAN ROADS), imeingia mkataba na Mkandarasi aitwae Kings Builders LTD ,kutoka jijini Dar es Salaam ya ujenzi wa madaraja 7 pamoja na kunyanyua tuta la barabara kilo mita 1.5 katika maeneo yenye urefu wa mita 500 na mita 1,725 eneo la kwa wasomali lilipo Wilayani Hai ,yenye thamani ya sh,5.8 billion Haya yamo katika taarifa yake aliyo wasilisha mbele ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdini Bab na Engineer Benitho Mdzove kaimu Meneja wa Tan road mkoani hapa wakati wa makabidhiano wa mkataba huo wa kazi , uliofanyika…

Read More