Na Mosses Mashala Zanzibar . Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu, na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi amesema maradhi ya Saratani ni hatari na yanarejesha nyuma juhudi za jamii na uchumi hata kusababisha umasikini kwa jamii kutokana na gharama kubwa za matibabu yake kwa wagonjwa wengi kutokuwa na uwezo wa kumudu matibabu. Mama Mariam Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 4 Disemba 2024, Ofisini kwake Ikulu ya Migombani, Mkoa wa Mjini Magharibi alipozungumza na wageni kutoka Hong Kong, Dk. Jeremy Hon, Daktari na Mtaalamu wa maradhi ya Saratani akiambatana…
Author: Geofrey Stephen
Karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania tarehe 5 Mwaka 2024 mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho.
Na Geofrey Stephen Arusha, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ni mgeni rasmi katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 . Tazama matukio katika picha .
Na Geofrey Stephen Arusha. Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezindua msimu wa kampeni ya kuhamasisha utalii kwa wananchi kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka yenye kauli mbiu isemayo _MERRY AND WILD, NGORONGORO AWAITS_ ambayo inatarajiwa kuanza tarehe 4 Desemba, 2024 hadi tarehe 4 Januari, 2025. Akitangaza kampeni hiyo Kamishna msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi anayesimamia Idara ya huduma za utalii na Masoko Mariam Kobelo ameeleza kuwa katika utekelezaji wa kampeni hiyo NCAA itashirikiana na kampuni ya _Smile Safaris_ ya Jijini Arusha ambayo katika kuratibu safari hiyo imeandaa vifurushi (Packages) katika makundi matatu ili kuwawezesha watanzania wengi…
Katibu Arusha24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania December 4Mwaka 2024 mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho.
Na Bahati Hai, Waziza na walezi Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro Wametakiwa kuwapa elimu ya Dini watoto wao ili elimu hiyo iwe Muongoze ya kutenda mema na kuzuia matendo maovu hapa Duniani Haya yamesemwa na Immamu Muhamedi Hamza kutoka Wilayani ya siha mkoani hapa katika Maulidi ya kuzaliwa Mtume Muhamedi (SAW)yaliyofanyika katika Msikiti wa Kingereka B Bomang’ombe Wilayani humo,na kuhudhuria na Waumini ,Viongozi mbalimbali wa Dini na Serikali. Azingumza mara baada ya kupata frusa ,Immamu Muhamedi k hapa, ameomba jamii kuwekeza katika elimu ya Dini ili kupata waje wema na waadilufu katika Nchi hii na Dunia kwa ujumla “Ni kweli kuwapa…
Na Bahati Siha, Wakazi Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro,wameomba serikali kuwajibika kwa kuwapatia gari ya zimamoto ili kuweza kukabiliana na majanga ya moto yanatokea mara kwa mara Haya yamejiri baada ya kuonekana Wilaya hiyo kutokuwa na gari ,na linapotokea janga la moto magari hayo yanalazimika kutoka Moshi mjini kitendo ambacho kinalazimu kufika kwa kuchelewa na kukuta Mali zimeteketea kwa moto Wakizungumza waandishi wa habari kwa nyakati tofauti,Wamesema upo ulazima kwa Wilaya kuwa na gari kutoka na moto kuzuka mara kwa mara na gari ya hiyo ya zimamoto kutoka nje ya Wilaya, “Ni Wilaya haina gari ya zimamoto,moto unazuka sehemu inabidi gari…
Karibu Arusha24tv leo December3 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho.
Karibu Arusha24tv leo kutazama habari kubwa katika magazeti ya leo December2 mwaka 2024 mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho.
By Reporter Yesterday evening Friday November 29 Tanzania Breweries Plc emerged the Overall winner for EYA 2024. Runners Up were Barrick North Mara Gold Mine Limited and Tanzania Ports Authority respectively. The evening was filled with mixed feelings as the winners of the Employer of the Year Award(EYA) 2024 walked away with trophies reflecting their outstanding Human Resources management practices. Organised by the Association of Tanzania Employers (ATE), this year the annual Award was made more exciting with the addition of two criteria namely, Occupational Health and Safety plus HIV& AIDS Response. He award giving ceremony was graced by the…