Karibu Arusha24tv leo November 18 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na Nyuma Hii ni A24tv .
Author: Geofrey Stephen
Na Bahati Siha . Siha,Wanafunzi wa shule ya Msingi lemosho kata ya Indumet Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro,wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko ikiwamo kipindu pindu kutoka na kukosa maji safi na salama shuleni hapo Maji hayo yalikatwa na Bodi ya maji Magadini Makiwaru Kwa madai ya kudai bili ya maji zaidi ya sh,1milioni ,uku wadao wa elimu wakiomba Serikali kuchimba visima kwa kila shule kuepuka kadhia hiyo Wakizungumza na waandishi wa habari Kwa nyakati tofauti,Wamesema wanafunzi hao wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko ikiwamo ugonjwa wa kipindu pindu nakuomba Wadau wa elimu kuingilia kati swala hilo “Ni kweli wapo…
Na Bahati Siha, Mratibu wa magonjwa yasiyo ambukiza Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro Jonas Kira,ametoa rai kwa Wananchi Wilaya humo,kufanya mazoezi mara kwa mara ili kufanya miili yao kuwa imara na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyo ambukiza Haya ameyasema leo katika uwanja wa CCM Sanya juu Wilayani humo,wakati wa kufanya mazoezi mbalibali ikiwamo zoezi la kukimbia kwa Watumishi wa halmshauri,Jeshi la police,jeshi la akiba pamoja na Wananchi liliandaliwa na ofisi ya mkurungenzi mtendaji wa halmshauri hiyo. Akizungumza mara baada ya kupata frusa,amewataka Wananchi Wilayani humo kujiwekea utaratibu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ili kuifanya miili yao kuwa imara na kujikinga…
Juma Mosi ya November 16 Mwaaka 2024 karbu kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo mbele na nyuma Hii ni A24tv .
Na Mwandishi wa A24tv .Arusha . Katika kuhamasisha utamaduni wa watanzania kujiwekea akiba ili kukabiliana na dharura zinazoweza kujitokeza za uhitaji wa fedha, Benki ya NMB imetoa zawadi kwa wateja wake kupitia kampeni ya ‘Bonge la Mpango, mchongo ndio huu’. Zawadi hizo zimetokana na washindi wa bahati nasibu inayochezeshwa na benki hiyo kwa wateja wake waliojiwekea akiba ya kuanzia shilingi 100,000 na kuendelea. Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi hizo, Meneja wa NMB kanda ya kaskazini, Baraka Ladislaus amesema kampeni hiyo ya kila mwaka ya ‘Bonge la Mpango’ inalenga kuhamasisha watu kufungua akaunti na kujiwekea akiba ili kutatua matatizo ya dharura…
Karibu Arusha24tv kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo November,15 Mwaka 2024 Mbelevna nyuma Hii ni A24tv. Mwisho.
Na Mwandishi wa A24tv Kibosho Uvccm imefanya uchaguzi wake wa kumchagua Mwenyekiti wa Vijana wa kata hiyo iliyoko wilayani Moshi ambapo wajumbe walimchagua Comrade Bosco Makoi kuongoza baraza hilo la Vijana kata awali nafasi hiyo ilikuwa wazi baada mwenyekiti aliyekuwepo kujiuzulu. Uchaguzi huo umesimamiwa na mkurugenzi wake ambaye ni katibu kata Ndugu.Mark Shio akishirikiana Mwenyekiti wa chama wa kata hiyo Cloude Olomi Makoi amewashukuru wajumbe wote kwa kumchagua huku akia hidi kushirikiana na viongozi wenzake, kuunganisha Vijana pamoja na kuzisaka fursa mbalimbali kwa maslahi mapana ya Vijana wa Kibosho Magharibi bila kubagua itikadi ya vyama.
Na Mwandishi wa A24tv Arusha Mwanafunzi Selesi John Njacha anaesoma chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) amefanikiwa kupata ufadhili wa masomo pamoja na msaada wa vifaa kupitia mpango wa ‘NMB nuru yangu Scholarship and Mentorship’ inayotolewa na Asasi ya Kiraia ya NMB Foundation. Selesi anaesoma Shahada ya Uzamili katika Sayansi ya Usalama wa Mtandao (Cybersecurity) mwaka wa pili amepata ufadhili huo utakaojumuisha malipo yote ya ada, nauli, posho, vifaa vya kusomea na kuandikia(stationary), mafunzo ya vitendo ‘field’ na laptop. Akibidhi vifaa hivyo vya kujifunzia leo Novemba 13,2024 jijini Arusha, Meneja wa NMB kanda ya Kaskazini, Baraka Ladislaus amesema kuwa Mwanafunzi…
Karibu Arusha24tv leo November 14 Mwaka 2024 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .
Karibu Arusha24tv leo November 12 Mwaka 2024 kutazama habari kubwa kilicho andikwa katika Magazeti ya leo mbele na nyuma Hii ni A24tv Mwisho