Author: Geofrey Stephen

Na Mwandishi wa A24tv . Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la Nchini humo, Baltasar Ebang Engonga (54) katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye Ofisi za Serikali na nyumbani kwa Ebang. Ebang ambaye ni Baba wa Familia ya Watoto sita, tayari amekamatwa kwa kosa la kujirekodi akiwa anafanya mapenzi na Wanawake hao ambao wengine ni Wake za Watu Mdogo Mke wa…

Read More

Na Bahati Siha . Siha,Chama cha ACT Wazalendo Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro kimetakiwa kuhakikisha kinaongeza idadi ya Wanachama kwa kusajili Wanachama wapya kwenye mfumo unaoitwa Act kiganjani ili kuweza kushinda katika uchunguzi wa Serikali za mitaa November 27 mwaka huu na uchunguzi Mkuu mwakani Haya yamesemwa na Rachel Kimambo katibu uchumi Taifa wa chama hicho ,katika kikao kazi kilichofanyika Sanya juu Wilayani humo,na kukutana na Wanachama pamoja na wagombea watakaoshiriki uchunguzi wa Serikali za mitaa Akizungumza na Viongozi wa chama hicho ngazi ya Wilaya pamoja na wagombea na Wanachama mara baada ya kupata frusa ya kunzungumza, amesema bila kuwa na…

Read More

Na Bahati Siha, Diwani wa kata ya Evae’ny Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro,Elinisaa Kileo,amewasihii Wananchi wa Kijijii cha Kishisha kutumia umeme kuwaletea maendeleao na kukuza uchumi wa eneo hilo Haya yamesemwa na Diwani huyu wakati wa maombi maalumu ya Shukrani Kijijii cha Kashashi kitongoji cha Isuhun’y kupata umeme Akizungumza na Wananchi waliokusayika katika tukio hilo,amewataka kutumia umeme huo kujiongezea kipato kwa kuwa wabunifu wa miradi na kuwa wajasiria mali. “Ni kweli tumefanya ibada maalumu ya kushukuru umeme kuwaka ,kwani kwa miaka 4 nguzo za umeme zimepita hapa tulikuwa tunaziangalia, sasa mkutano huu ni kuto pongezi kwa wale wote walioshiriki hadi kufika…

Read More

Na Joyce Ndunguru, Morogoro Katika kuunga mkono jitihada za Serikali katika ulinzi wa rasilimali za wanyamapori nchini, Kampuni ya Bushman Safari Trackers iliyopo Mkoani Morogoro imetoa msaada wa pikipiki sita (6) zenye thamani ya shilingi za kitanzania Millioni Kumi na tano (15,000,000) Kwa Askari wa Uhifadhi wa TAWA kwa ajili ya kusaidia shughuli za doria katika Pori la Akiba Maswa. Akimkabidhi Kaimu Naibu Kamishna wa Uhifadhi, Mlage Kabange msaada huo katika Ofisi za Makao Makuu ya TAWA zilizopo Mkoani Morogoro Oktoba 31,2024, Captain Willness Minja kwa niaba ya Kampuni ya Bushman amesema wamekabidhi vitendea kazi hivyo kwa ajili ya kusaidia…

Read More