Author: Geofrey Stephen

Na Bahati Siha . Serikali Wilayani Siha imetakiwa kuweka muongozo mzuri wa bodaboda kufanya kazi ili kuweza kuwadhibiti na kupunguza matendo mbali mbali ikiwamo ya ajali za mara kwa mara barabara Siha, , Jamuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania(JMAT ),Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro,imetoa rai kwa Serikali Wilayani humo kuwawekea utaratibu mzuri madereva badoboda ikiwa ni pamoja kuwa na katiba ili kupunguza uhalifu na ajali za mara kwa mara Haya yamesemwa na makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Wilayani humo Idrisa Mndeme mara baada ya kutembelea vituo vya bodaboda ambapo alibaini baadhi ya vijiwe havina muongozo wowote…

Read More

Na Geofrey Stephen Mohi Kilimanjaro . Kwa kishindo kikubwa kwa mara nyingine tena mwaka huu wa 2024 Kampuni ya ZARA Adventure, iliyoko Moshi mkoani Kilimanjaro, imezindua kampeni ya Twenzetu Kileleni season 4 kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika. Mkurugenzi wa Zara Adventure Bi Zainab  Ansell akizungumza na vyombo vya Habari  Akizungumza na vyombo vya habari katika makao makuu ya kampuni hiyo mbele ya vyombo vya habari , Mkurugenzi wa ZARA Adventure Bi.Zainab Ansell  alielezea lengo la kampeni hiyo na jinsi inavyolenga kuchochea utalii wa ndani na kukuza uhusiano kati ya jamii za wenyeji na watalii.…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv Arusha . Baraza la Maadili limemaliza kumhoji Mkuu wa Chuo cha uhasibu (IAA )Arusha,Professa Eliamani Sedoyeka kuhusu tuhuma nne zinazomkabili ambapo katika majibu yake amedai hazina ukweli wowote na kwamba alifuata taratibu zote za kiutumishi katika kufanya maamuzi . Akijibu Tuhuma ya kuwa na ukaribu na mtumishi Hakimu Ndatama na uhamisho wake kurudi IAA pindi yeye aliporejea kuwa Mkuu wa Chuo Prof amesema kwamba Uhamisho wa Ndatama kwenda Wizara ya Maliasili na Utalii ulifuata taratibu zote za kisheria na kufuatia mahitaji ya kikazi, Chuoni hapo na hakuna ukiukwaji wowote . Professa Eliamani Sedoyeka Alieleza kwamba Chuo…

Read More