Author: Geofrey Stephen

Naitwa Esma Said kutokea Mombasa nchini Kenya, baadhi ya wanawake wamekuwa na wivu ya jinsi tunavyoishi na mume wangu, wengine huwa wanakuja kuniuliza nimewezaje kumtuliza mume wangu wakati wa kwao wanakuwa na michepuko mingi. Kuna Mama mmoja alinieleza kuwa mume wake amekuwa akilipwa mshahara nzuri na marupurupu kibao kazini lakini fedha nyingi huwa zinaishia kwa mchepuko ambao ameupangishia na nyumba na mara nyingi hulala huko kwa kisingizo ameenda safari ya kikazi. Alifika mbali na kusema endapo mume wake angekuwa ametulia ndani ya ndoa angekuwa na maendeleo sana tatizo ana michepuko mingi ambayo anatumia fedha kubwa kuihudumia. Watu wengi wamekuwa wakisifia…

Read More

Jina langu ni Matias kutokea Machakos nchini Kenya, kwa sasa ni miongoni mwa wafanyabiashara waliofanikiwa sana katika eneo letu, ila kufika hapa haikuwa nahisi hata kidogo, kulikuwa na milima na mabonde. Unajua kwanini nasema hivyo? Hapa duniani kila binadamu anapenda kuona anakua katika biashara ambayo anaifanya, anapenda kuona biashara yake inaongezeka mtaji, biashara yake inamletea maisha mazuri au mengine makubwa zaidi ya kiuchumi. Ndivyo ilivyokuwa na kwangu kipindi nafungua biashara yangu ya kuuza nafaka kutokea mashambani, nilikuwa na matazamio makubwa biashara hii itaweza kunifikisha mbali sana kimaisha. Hata hivyo, matamio yangu yalikuwa ni kunyume kabisa na kile ambacho nilienda kukumbana…

Read More

Na Mosses Mashala . Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar ulizingatia kutanguliza mbele usalama wa maisha ya watu, maslahi, utulivu na mstakabali mwema wa Zanzibar, Wazanzibar na Watanzania wote kwa ujumla, kuliko vyama vya siasa. Balozi Dk. Nchimbi ameongeza kusema kuwa uwepo wa Serikali hiyo Zanzibar umeondoa hali ya siasa za chuki na uhasama mkubwa uliokuwepo kabla ya kufikiwa kwa uamuzi wa kuundwa kwake, huku akisisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kutimiza wajibu wake wa kutoa uongozi kwa nchi ili kudumisha umoja…

Read More

Katika ujana wangu nilijikuta nipo njia panda ambayo hadi leo naweza sema imeniweka kwenye mazingira magumu ila imenipa funzo kuwa tiba za asili ni muhimu kwa sisi wa Afrika na dunia kwa ujumla. Kwa majina naitwa Aisha Mohamed mkazi wa Mombasa nchini Kenya, miaka kama sita iliyopita nilikutana na kijana mmoja anayetokea familia ya kutajiri, tulipendana sana na tulifanya kila kitu, baada ya muda nilibeba ujauzito wake. Kwa bahati mbaya, kumbe mwenzangu alikuwa na matatizo tangu kuzaliwa bila mimi kujua na hakuwahi kuniambia, sina hakika ni matatizo gani, ila alikuwa hawezi kumtungisha mwanamke mimba. Hivyo nilipomwambia nina ujauzito wake, alikataa…

Read More