Author: Geofrey Stephen

Na Bajati Moshi, Serikali imewapongeza Klabu ya Waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro (MECKI) kwa kuona umuhimu wa kupanda miti Maeneo mbali mbali ikiwa pamoja na kwenye chanzo cha maji chemi chemi ya Miweleni ikiwa ni jitihada za kuonga mkono Serikali za mapambano dhidi ya uharibifu wa mazingira Aidha imetaka Jamii pamoja na Wenyeviti wa vijiji pamoja na watendaji wa Maeneo hayo kuitunza miti hiyo ili iweze kukua na kufikiwa lengo lililokusudiwa. Hayo yamesemwa na Senzia Msafiri Afisa Tarafa Moshi Magharibi,kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Moshi katika maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari ,ambapo kimkoa yalifanyika katika…

Read More

Walimu wa Murieti Darajani kupitia kikao chao leo asubuhi wamemshukuru mkurugenzi wa jiji la Arusha Juma Hamsini kwa kwa kutimiza ahadi yake  ya  ambayoViti Na meza za walimu uaiitoa tarehe 2/2 wakati wa ziara ya Kamati ya Siasa ya Wilaya. Waaliku hao wamempngeza mkurugenzi na kumwombea kheri kwa Mungu ambariki katika shughuli zake za  Halmashauri ya Jiji la Arusha . Mwisho .

Read More

Na Mwandishi wa A24tv. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini leo tarehe 30.05.2024 imezitembelea Asasi za Kiraia sita zinazojihusisha na uelimishaji katika jamii juu ya madhara ya tatizo la dawa za kulevya katika Mkoa wa Arusha. Lengo la Mamlaka kufanya ziara hiyo ni kuzitambua ofisi rasmi za Asasi hizo pamoja na kufahamu jinsi zinavyofanya kazi lakini pia kufahamu changamoto zinazowakabili wakati wa uteketezaji wa majukumu yao pamoja na kuwapatia vitendea kazi; Miongozo, Vitabu, Majarida na Vipeperushi. Asasi hizo zilizotembelewa ni; Youth and Community Rehabilitation (YCR), Drug Abuse and Recovering Organization (DARO), Care For…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha . Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Arumeru pamoja na Taasisi muhimu zinazohusika wakati wa zoezi la uteketezaji wa vielelezo vya dawa za kulevya kwa mujibu wa sheria imeteketeza gunia 21 za bangi kavu katika dampo la maji ya chai lililopo wilayani Arumeru katika Mkoa wa Arusha. Gunia hizo 21 za bangi kavu zilizoteketezwa zilikamatwa pamoja pia na uteketezaji wa ekari 81 za bangi zilizokuwa zimepandwa katika mashamba ya nafaka ya maharage na mahindi  ambapo watuhumiwa wanne waliohusika na gunia…

Read More