Author: Geofrey Stephen

Na Bahati Hai, Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Hassani Bomboko,ameunda timu ya kufutilia mgogoro wa Aridhi kati ya Wananchi wa Kijijii cha mkombozi na baadhi ya watu wanaoudaiwa kuvamia eneo liliotengwa la kijijii hicho Hatua hiyo imekuja baada ya kusikiliza maelezo ya pande zote mbili zinazojiushisha na mzozo huo za walalamikaji na walalamikiwa ,uku akitoa angalizo la watu kusema ukweli ili haki iweze kutendeke bila kumuonea mtu. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa dharura uliofanyika katika kijijii hicho karibu na shule mpya ya Sekondari Mkombozi na kuhudhuriwa na baadhi ya madiwani amesema timu hiyo itafutilia na kutoa majibu…

Read More

Arusha. Wanawake wa Jamii ya Kimasai wameiomba serikali kufikisha huduma za msaada wa kisheria katika jamii za pembezoni ili kusaidia kukabiliana na vikwazo vya kimila vinavyowanyima haki zao. Wamesema kuwa kwenye jamii yao bado kuna baadhi ya mila potofu ambazo zimekuwa vikwazo vya kuleta usawa wa kijinsia katika jamii zao ikiwemo haki sawa ya umiliki wa ardhi, ndoa za utotoni lakini pia haki ya mtoto wa kike kupata elimu. Akizungumza kwa niaba ya wenzake, jijini Arusha, Mwenyekiti wa Taasisi ya Enyorata, Himid Joel Ole Mollel amesema kuwa pamoja na changamoto hizo wanamshukuru Rais Samia Suluhu Tangu aingie madarakani sera mbalimbali…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv. Arusha. Wanawake wa kikundi cha ‘Arusha Super Woman’ wamefanikiwa kutembelea wagonjwa katika hospitali ya Rufaa ya Mount Meru jijini Arusha sambamba na kutoa msaada wa vitu mbalimbali vya usafi, lishe, na kujisitiri. Mbali na vifaa hivyo pia wamelipia baadhi ya wagonjwa bili zao walizokuwa wanadaiwa yenye thamani ya shilingi milioni 1.4. Wakikabidhi msaada wa vitu hivyo, Mwenyekiti wa kikundi cha ‘Arusha Super Women,’ Bertha Kondo, amesema kuwa wameamua kutoa msaada huu kwa wazazi na wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo kama sehemu ya kutekeleza mpango wao wa kugusa maisha ya jamii. “Tumekuwa tukitoa misaada katika kambi mbalimbali…

Read More

Na Mwwndishi wa A24tv . Dodoma Kamishna wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Dkt. Elirehema Doriye amesema kuwa mamlaka hiyo imefikia malengo ya ongezeko la watalii na ukusanyaji wa mapato kwa miaka minne mfululizo kutokana na mchango mkubwa wa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia filamu ya Tanzania; The Royal Tour. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma siku ya Jumatatu tarehe 10.03.2025 Dkt. Doriye amesema tangu mwaka wa fedha 2021/2022 mpaka kufikia sasa kumekuwa na ongezeko la idadi ya watalii na mapato ambapo kwa mwaka…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa  Umma (PSSSF) na Kituo cha Mikutano cha  Kimataifa cha Arusha (AICC) zimetiliana saini ya  utekelezaji wa mpango mahususi wa ujenzi wa  ukumbi mkubwa wa kisasa wa Mikutano wa Mt  Kilimanjaro(KMICC)jijini Arusha, yakiwa ni  maono ya Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere  na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Hayo yameshuhudiwa na Waziri wa Mambo ya  Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi  Mahmoud Thabit Kombo ,wakati wa hafla ya  uwekaji saini wa Ukumbi huo utakao kuwa na  uwezo wa kuchukua watu 5000 kwa mkupuo  mmoja.    “Rais Samia ameona kwa…

Read More