Author: Geofrey Stephen

Na Mwandishi wa A24tv Siha, Mwanafunzi wa Darasa la saba shule ya Msingi Majengo nyati Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro ,Ebeneza Msuya (14),amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya KCMC ,akisubiri kuongezewa damu ili kufanyiwa uchunguzi baada ya kupigwa na mwanafunzi mwenzake na kumsababishia kutoka dama sehemu za siri Pia ameomba wasamaria weme kujitokeza ili kumchangia damu ilikufanikisha zoezo la kufanya uchunguzi liwezekufanyika ,Tukio hilo limetokea may 13 mwaka huu katika shule hiyo ambapo chanzo cha ugomvi inadaiwa baada ya kuchanwa namba ya mtihani wake moku na alipohoji ndipo ugomvi ulipo zuka Angela Nyoni mama mzazi wa mwanafunzi huyo Akizungumza na mwananchi…

Read More

Benki ya CRDB imekabidhi pikipiki 20 zenye thamani ya sh,milioni 1508 kwa mkoa wa Arusha kwa lengo la kuimarisha usalama katika mji huo wa kitalii. Akiongelea tukio hilo Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, AbdulMajid Nsekela alisema msaada huo umekuja kupitia mpango wa benki hiyo wa kutenga asilimia 1 ya faida inayoipata kila mwala kwa ajili la kurejesha kwa jamii kupitia sekta ya elimu,Afya . Alisema kila mwaka benki hiyo imekuwa ikifanya ukutano ukitanguliwa na mkutano wa wanahisa ambao huenda sanjari na kushiriki shughuli za kijamii ikiwemo kukabidhi Madawati ujenzi wa madawati ikiwa ni mpango wa kuunga mkono juhudi za…

Read More

Na Geofrey Stephen ,Arusha. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kufungua semina ya wanahisa wa  benki ya CRDB  mei 17 mkoani Arusha. Hayo yamesemwa leo mkoani Arusha na  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Dkt. Ally Laay  wakati akizungumza  na waandishi wa habari mkoani Arusha. Dkt.Laay amesema Mkutano Mkuu wa Wanahisa utatanguliwa na Semina ya Wanahisa itakayofanyika  Mei 17 huku ikifuatiwa na mkutano mkuu utakaofanyika mei  18. Amesema kuwa ,maandalizi ya mkutano huo tayari yamekamilika huku akiwataka wanahisa kufika kwa wingi katika semina hiyo ambayo italenga  kujadili  ajenda mbalimbali . Amesema kuwa,kupitia mkutano huo…

Read More

Siha, Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka,ametoa angalizo kwa Watumishi wa umma wanaochelewa kufika kazini na kuwataka Wananchi kutoa taarifa wanapoona jambo hilo ili hatua za kinidhamu ziwezo kuchukuliwa dhidi yao Haya yamejiri kwenye mafunzo ya usambazaji na uwasilishaji wa matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 kwa Viongozi , Watendaji wa Wilaya ya Hai na Siha yaliyofanyika katika ukumbi wa Rc Sanya juu Wilayani siha,ambapo baadhi ya Viongozi wa Dini walihoji kuhusu Watumishi wanaochelewa kufika kazini. Mkuu huyo Akizungumza katika mfunzo hayo ya siku moja na kuwajumuisha Wakuu wa Wilaya Hai…

Read More