Author: Geofrey Stephen

Na Mosses Mashala . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein kufuatia kifo cha Aliyekuwa Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye amefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024 katika hospital ya Mzena, Dar es Salaam na kuzikwa Mangapwani tarehe: 02 Machi 2024. Mwisho .

Read More

Hakuna kitu ambacho kimekuwa kikiwarudisha watu nyuma kiuchumi au kimaisha kama wizi, vijana wanaofanya kazi ya usafirishaji kupitia pikipiki maarufu kama Bodaboda wamekuwa waanga wakubwa wa vitendo hivyo. Jina langu naitwa Abeli Njoroge kutokea Njeri nchini Kenya, ni dereva bodaboda wa muda mrefu katika eneo langu, nimefanya kazi hii kwa miaka 10 sasa lakini changamoto nilizokutana nazo ni kubwa mno kuliko mwenzangu naweza kusema hivyo. Nakumbuka wakati naanza kazi hii sikuwa na Bodaboda yangu bali nilikuwa nafanya kazi kwa Bosi mwenye pikipiki na jioni nampelekea fedha zake kwa jinsi tulivyokubaliana na kinachobaki ndicho kinakuwa changu kama mshahara wangu. Kuna siku…

Read More

Na Mosses Mashala . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini, Unguja  . Mwisho .

Read More

Na Mosses Mashala Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamad Yussuf Masauni kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassani Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini, Unguja. Mwisho .

Read More

Na Mosses Mashala Zanzibar . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassani Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini, Unguja. Mwisho .

Read More

Niliambiwa nazaa kwa fujo kama panya ila mume kanizawadia gari Hadi sasa naweza kusema safari yangu katika ndoa hajawahi kuwa rahisi hata kidogo, nimepitia changamoto nyingi, ni milima na mabonde, mapana na membamba, kusuka na kunyoa ila nashukuru nilifanikwa kushinda mambo yote hayo. Naitwa Tanasha kutokea Nairobi nchini Kenya, kwa sasa ni mama wa watoto saba, niliolewa na mume wangu, Noel takribani miaka 10 iliyopita, uhusiano wetu ulianza tangu kipindi tunasoma chuo na kuwekeana miadi ya kuoana. Katika maisha yangu ya ndoa kuna kitu ambacho watu huwa wanakishangaa sana kuhusu mimi kutokana sio kawaida kuona jambo kama hilo kwa watu…

Read More