Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara ,Christopher Ole Sendeka amenusurika kuuwawa baada ya watu wasiojulikana kuliahambuliangari lake kwa risasi mapema leo jioni hii. Taarifa za uhakika kutoka Simanjiro zinaeleza kwamba Mbunge huyo pamoja na dereva wake wote wamenusurika baada ya gari lao kushambuliwa kwa risasi wakati wakiwa jimboni humo. Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo katika eneo hilo wameeleza kwamba walisikia milio ya risasi ikishmbulia gari hilo kabla ya washambuliaji kutokomea kusikojulikana. A24 inaendelea kufuatilia taarifa hizi kwa ukaribu zaidi na itakuletea taarifa za kina kuhusu tukio hili endelea kuwa karibu nasi. Mwisho .
Author: Geofrey Stephen
Kitambi Noma yamwaga misaada Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru kwa watoto Njiti na wazazi walio jifungua na kukosa uwezo wa kulelea watoto wachanga . Karibu Arusha24Tv kutazama Matukio katika picha namna wajumbe wa kitambi noma walivyo gawa misaada ya kutosha kwa hospital ya rufaa ya mkoa Mount Meru . Mwisho
Naitwa Esma Said kutokea Mombasa nchini Kenya, baadhi ya wanawake wamekuwa na wivu ya jinsi tunavyoishi na mume wangu, wengine huwa wanakuja kuniuliza nimewezaje kumtuliza mume wangu wakati wa kwao wanakuwa na michepuko mingi. Kuna Mama mmoja alinieleza kuwa mume wake amekuwa akilipwa mshahara nzuri na marupurupu kibao kazini lakini fedha nyingi huwa zinaishia kwa mchepuko ambao ameupangishia na nyumba na mara nyingi hulala huko kwa kisingizo ameenda safari ya kikazi. Alifika mbali na kusema endapo mume wake angekuwa ametulia ndani ya ndoa angekuwa na maendeleo sana tatizo ana michepuko mingi ambayo anatumia fedha kubwa kuihudumia. Watu wengi wamekuwa wakisifia…
Karibu leo ijumaa kuu march29 kutazama habari kubwa katika magazeti ya leo ya Tanzania yalioandikwa mbele na nyuma Hii ni A24tv .
Karibu Arusha24Tv leo Alhamisi ya tarehe 28 March kutazama kilicho andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbrle na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho.
Jina langu ni Matias kutokea Machakos nchini Kenya, kwa sasa ni miongoni mwa wafanyabiashara waliofanikiwa sana katika eneo letu, ila kufika hapa haikuwa nahisi hata kidogo, kulikuwa na milima na mabonde. Unajua kwanini nasema hivyo? Hapa duniani kila binadamu anapenda kuona anakua katika biashara ambayo anaifanya, anapenda kuona biashara yake inaongezeka mtaji, biashara yake inamletea maisha mazuri au mengine makubwa zaidi ya kiuchumi. Ndivyo ilivyokuwa na kwangu kipindi nafungua biashara yangu ya kuuza nafaka kutokea mashambani, nilikuwa na matazamio makubwa biashara hii itaweza kunifikisha mbali sana kimaisha. Hata hivyo, matamio yangu yalikuwa ni kunyume kabisa na kile ambacho nilienda kukumbana…
Karibu Arusba24tv leo Juma Tano March 27 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyum Hii ni A24Tv .
Na Mosses Mashala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwemo watu wenye mahitaji maalumu , Wajane, Yatima ,Wazee na Masheikh katika Futari aliyowaandalia katika ukumbi wa Idrissa Abdul-Wakil Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe: 25 Machi 2024. Mwisho .
Na Mosses Mashala . Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar ulizingatia kutanguliza mbele usalama wa maisha ya watu, maslahi, utulivu na mstakabali mwema wa Zanzibar, Wazanzibar na Watanzania wote kwa ujumla, kuliko vyama vya siasa. Balozi Dk. Nchimbi ameongeza kusema kuwa uwepo wa Serikali hiyo Zanzibar umeondoa hali ya siasa za chuki na uhasama mkubwa uliokuwepo kabla ya kufikiwa kwa uamuzi wa kuundwa kwake, huku akisisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kutimiza wajibu wake wa kutoa uongozi kwa nchi ili kudumisha umoja…
JUMANNE YA LEO MARCH 26 KARIBU KUTAZAMA HABARI KUBWA KATIKA MAGAZETI YA LEO YA TANZANIA MBELE NA NYUMA HII NI A24TV.