Author: Geofrey Stephen

Na Mwandishi wa A24tv. Serikali wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro imetoa zaidi ya tani 18.6 za mahindi ya chakula kwa waathirika wa mvua ya mawe ya barafu iliyombatana na upepo mkali katika baadhi ya kata za Wilaya hiyo na kuathiri zaidi ya ekari 20 za migomba ya ndizi, mahindi, parachichi pamoja na nyumba zaidi ya 15. Hai.Serikali wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro imetoa zaidi ya tani 18.6 za mahindi ya chakula kwa waathirika wa mvua ya mawe ya barafu iliyombatana na upepo mkali katika baadhi ya kata za Wilaya hiyo na kuathiri zaidi ya ekari 20 za migomba ya ndizi,…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt, Ashatu Kijaji (MB) amezitaka Taasisi zinazohusika na utoaji Leseni(BRELA) Shirika la Viwango Tansania (TBS) na wakala wa vipimo sahihi (WMA)kupita kwenye viwanda vyote nchini vinavyo zalisha bidhaa za mabati na bidhaa nyingine kukagua na kujiridhisha kama bidhaa zinazozalishwa na viwanda nchini zinakidhi vigezo vilivyo vilivyoainishwa na kukubalika na Serikali. Waziri Kijaji ameyasema hayo leo 22 Febriari ,2024 jijini Dodoma wakati alipofanya ziara katika Viwanda vya kuzalisha mabati vya ALAF na Herosean Interprises inayozalisha mabati ya DRAGON ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa na…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv . Serikali ya Tanzania inayo dhamira ya dhati ya kushirikiana na Marekani katika kukuza biashara na uwekezaji na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa Tanzania na Marekani. Vikevile, Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na Chemba ya Wafanyabiashara wa Marekani-Tanzania (AMCHAMTZ) na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) ili kufanikisha malengo ya Mpango Mkakati wa AMCHAMTZ yaliyokusudiwa. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Sempeho Manongi kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Hashil Abdallah wakati wa Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa AMCHAMTZ ya Mwaka…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itapunguza gharama za vyakula nchini. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya sala ya Ijumaa Msikiti wa Mubarak Bububu Kihinani, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe: 23 Februari 2024 Rais Dk.Mwinyi amesema atatoa taarifa muda mfupi ujao katika kukabiliana na hali ya upandaji wa gharama za vyakula ili kuwapunguzia mzigo wananchi. Aidha Rais Dk.Mwinyi amewahimiza waumini kutenda mema kwa kudumisha amani na kuwasaidia makundi ya wasiojiweza katika kuelekea kipindi cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mwisho…

Read More

Na Doreen Aloyce, Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt, Ashatu Kijaji (MB) amezitaka Taasisi zinazohusika na utoaji Leseni(Brela) Shirika la Viwango Tansania (TBS) na wakala wa vipimo sahihi (WMA)kupita kwenye viwanda vyote nchini vinavyo zalisha bidhaa za mabati na bidhaa nyingine kukagua na kujiridhisha kama bidhaa zinazozalishwa na viwanda nchini zinakidhi vigezo vilivyo ainishwa na kukubalika na Serikali. Waziri Kijaji ameyasema hayo leo 22 febriari ,2024 jijini Dodoma wakati alipofanya ziara katika kiwanda cha kuzalisha mabati cha ALAF na Herosean Interprises inayozalisha mabati ya DRAGON ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha uwekezaji wa…

Read More