Author: Geofrey Stephen

Na Geofrey Stephen Arusha . WAHASIBU wakuu wa Serikali wa nchi za bara la Afrika wapatao 2000 wanatarajiwa kushiriki katika  Mkutano mkubwa wa pili wa kimataifa wa siku tatu,u utakaofanyika Desemba 2-hadi 5 mwaka 2024 kwenye kituo cha mikutano ya kimataifacha  AICC Jijini Arusha. Mhasibu Mkuu wa Serikali,CPA, Leonard Mkude,ameyasema hayo leo Jijini Arusha, alipokuwa akizungumza na Vyombo vya habari akielezea maandalizi ya Mkutano huo ambao utawashirikisha Wakaguzi Wakuu wa hesabu za Serikali barani afrika. Mhasibu Mkuu wa Serikali,CPA, Leonard Mkude akiongea na vyombo vya habari . Amesema kuwa lengo la mkutano huo uliandaliwa na Umoja wa Wahasibu Wakuu wa…

Read More

Na Bahati Siha, Wananchi wa Kitongoji cha Makao mapya kata ya Orkolili Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro ,wamelalamika kuchoshwa na ahadi wanazopewa na Meneja wa I(TANESCO) Wilayani humo Ismael Salum kwamba watawekewa umeme , Ambapo wamesema huu mwaka wa 7 hawajapata licha ya nguzo kufika katika eneo. Wakizungumza na waandishi wa habari katika Kitongoji hicho,wamesema jambo hilo limewaathiri kisakonolojia kwani wamekuwa wakiziangalia nguzo hizo kwa uchungu wa hali ya juu nakutamani bora zisingekuwepo “Ni kweli huu ni mwaka wa 7 Nguzo kubwa zimesimamishwa hapo ,sasa kama waliona muda wa sisi kupata umeme hawajafika kwani hizi Nguzo walizileta hapa “walihoji Wananchi Raphael…

Read More

Na Bahati Hai . mfugaji wa Ngamia Kijiji cha mtakuja Wilayani Hai mkoani Kilimanja ameahidi kumpatia Rais Samia Suluhuu Hassani Ngamia. Serikali imeombwa kuhamasisha jamii kuhusu ufugaji wa Ngamia na faida zake ili iweze kuwa na mwamko wa kufuga na kupata maziwa pamoja nyama kwani itasaidia kuinua kipato cha familia Akizungumza na waandishi wa habari leo mfugaji wa wanyama hao Dahir Jama Yussuf mkazi wa kijiji cha Mtakuja kata ya Kia, wilayani Hai mkoani waliomtembelea kijijini hapo, kufahamu namna alivyo weza kuwafuga wanyama hao amesema wanafaida kubwa “Ni kweli wanafaida kubwa ndiyo sababu naomba Serikali iweke kipaumbele kuhamasisha jamii kufuga…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha ZAIDI ya washiriki 1000 kutoka mikoa mbalimbali nchini,wanatarajiwa kushiriki kukimbia kwa kushiriki katika mbio za Tanfoam zitakazofanyia jijini Arusha,kuanzia Disemba mosi mwaka huu Wakizungumza na vyombo vya habari  jijini Arusha katika  hafla ya uzinduzi wa mbio hizo,Mkuu wa Kitengo cha Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Tanfoam,Gloria Temu,amesema mbio hizo zitafanyika katika kanda tatu na wataanza na ufunguzi kwenye kanda ya kaskazini. “Makao makuu ya mbio ni Arusha,lakini zitaongezeka kwenda kwenye mikoa mingine kwa mzunguko wa mikoa mitatu iliyoko kwenye kanda tatu nchini,ambayo ni Dodoma,Mwanza na Arusha,”alisema Gloria. Hata hivyo,alisema lengo kuu la mbio hizo,ni kuelimisha…

Read More

Mwandishi wetu.Babati Taasisi ya Uhifadhi na Utalii ya Chem Chem Safaris, iliyopo eneo la hifadhi ya jamii ya wanyamapori ya Burunge(Buruge WMA), wilaya Babati Mkoa wa Manyara,imeshinda tuzo ya utalii na Uhifadhi unaoshirikisha jamii. Tuzo hiyo, imetolewa na Taasisi ya kimataifa African Travel and Tourism Association(ATTA) ya nchini Uingereza, ambayo ilishirikisha nchi mbali mbali duniani. Akitangaza ushindi wa chemchen Rais wa ATTA, Nigel Vere Nicoll, alisema walipokea idadi kubwa ya taasisi binafsi za Utalii na Uhifadhi, ambazo zinafanyakazi na jamii ili kupokea tuzo katika vipengere vinane ambavyo vinatambulika na shirikisho la Utalii duniani. “Baada ya majaji kupitia sifa za kila…

Read More

Arusha Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2024, Godfrey Eliakimu Mnzava amewataka walimu kusimamia wanafunzi wao kutunza miundombinu ya shule ya Sekondari ya Wasichana Arusha iliyoko kata ya Olasiti jijini Arusha. Amesema kufanya hivyo kutasaidia miundombinu ya shule hiyo kudumu kwa mda mrefu na kuwanufaisha wanafunzi waliopo sasa na vizazi vijavyo. Mnzava ameyasema hayo leo Julai 22,2024 wakati akizindua mradi wa ujenzi wa vyumba 15 madarasa, mabweni 2 na matundu 21 ya vyoo 21 ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Arusha iliyoko kata ya Olasiti. Mradi huo uliotekelezwa na serikali kupitia Kampuni ya madini Barrick kwa gharama…

Read More

Mfanya biashara maarufu wa  Richard Poul Marcas amemshukuru Rais wa awamu ya sita Mh Samia Suluhu Hassan kwa kuwatengua watoto wa vigogo ambao walikua mawaziri bila kujali kwamba wanamajina makubwa katika nchii hii Marcas amesema Nampongeza sana Mh Rais kwa kuwatengua January Makamba pamoja na Nape Nauye kwa sababu walisha kosa sifa zakua mawaziri katika serikali ya awamu ya sita pia Mh Rais  ajaangalia kwamba ni watoto wa watu wakubwa alicho angalia ni utendaji imara katika kuwatumikia wananchi . TUNAKUSHUKURU SANA KWA UTEUZI MZURI ULIOUFANYA KWANI KIKULACHO KIKO UKINGONI KWAKO SASA WAKAJIPAGE VIZURI 2025. NA HUKU MTAANI HATUWATAKI KABISA LABDA…

Read More