Author: Geofrey Stephen

Na mwandishi wetu Arusha Serikali imelipongeza kundi la watu 600 waliokuwa wakazi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kwa uamuzi wao wa hiari wa kupisha shughuli za uhifadhi ndani ya hifadhi hiyo. Pongezi hizo zimetolewa leo Februari 1, 2024 na Kamishina wa Uhifadhi wa Ngorongoro, Richard Kiiza wakati akiliaga kundi hilo lililoanza safari majira ya saa 12:30 asubuhi kutokea ofisi ya zamani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuelekea Msomera.² “Ndugu zangu nawashukuru kwa hamasa kubwa mliyonayo Sasa ya kuanza kuondoka kwa hiari hifadhini kupisha uhifadhi maana sasa spidi ya kujiandikisha imekuwa kubwa katika kipindi kifupi” amefafanua Kamishina Kiiza. Amewahakikishia kuwa…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv Arusha kamishna wa umeme na nishati jadidifu,wizara ya nishati anayesimamia sekta ya umeme nchini,mhandisi Innocent Luoga akiongea na waandishi wa habari katika mkutano wa kimataifa wa ushirikiano wa maendeleo ya nishati Afrika unaofanyika jijini Arusha.picha na Anthony Masai. “yalikuwa ni maelekezo ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kuhakikisha umeme unaimarika katika kipindi cha miezi sita” Serikali imesema hali ya upatikanaji wa nishati ya umeme nchini inaendelea kuimarika licha ya kuwepo kwa upungufu wa nishati hiyo kwa baadhi ya maeneo ;na kwamba agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa…

Read More

Flier readies to recruit 5,000 cabin crew from six continents this year Dubai- January 18 Emirates is celebrating the new year and the imminent arrival of its spanking new fleet of Airbus A350s with a global cabin crew recruitment drive with a difference. The 5,000 new joiners will ensure the airline’s commitment to offering the world’s best inflight experience maintains a steady course. The recruitment drive is designed primarily for those who will soon or have recently stepped into the world of work. The airline is inviting fresh graduates with internships or part-time jobs on their résumés, those with a…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv . Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) na Mwenyekiti wa Mkutano wa 13 wa Mawaziri wa Biashara wa Eneo Huru la Biashara Afika (AfCFTA) amezisitiza Nchi Wanachama wa Mkataba huo kutumia vema fursa zilizopo ili kukuza biashara. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Januari 30, 2024 alipokuwa akifungua Mkutano wa 13 wa Mawaziri wa Biashara AfCFTA unaofanyika Durban, Afrika Kusini, Mkutano huo ambao utafanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 30 hadi 31 Januari 2024. Aidha amezitaka Nchi hizo kuendelea kushirikiana katika kukamilisha Itifaki ya Uwekezaji, Itifaki ya Biashara ya Kidigitali, pamoja na majadiliano kwenye…

Read More

Na Geofrey Stephen ARUSHA. Waziri wa Maliasili na Utalii ,Angellah Kairuki amemvisha cheo na kumwapisha , Musa Kuji kuwa kamishna wa uhifadhi wa shirika la hifadhi za Taifa (Tanapa) na kutoa maelekezo Shirika hilo kwa kulitaka libadilike ili liweze kuchangia ipasavyo uchumi wa taifa kupitia utalii na kuhifadhi raslimali kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho. Aidha amemtaka kamishna kuji kuliongoza shirika hilo kwa weledi,mshikamano huku akiwa na hofu ya mungu hu akiliepusha na migogoro isiyo na tija baina ya wananchi wanaozunguka hifadhi za taifa. Kairuki ametoa maelekezo hayo kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika makao makuu ya TANAPA yaliyopo…

Read More