Author: Geofrey Stephen

HABARI PICHA KATIBU MTENDAJI TUME YA MADINI, MHE YAHYA SAMAMBA AKIWASILISHA JAMBO KWENYE MKUTANO WA WATOA HUDUMA KWA WAMILIKI WA LESENI ZA MADINI MWANZA . Na mwandishi wetu Mwanza. “Tumekutana kujitathmini tangu mwaka 2018 Tume ya Madini ilipopewa jukumu la kusimamia masuala ya CSR na Local Content tumefanya nini? tumefanikiwa kwa kiasi gani na changamoto ni zipi, Mhe. Mgeni rasmi niseme tu tangu kipindi hicho kuna mafanikio makubwa” KATIBU MTENDAJI – TUME YA MADINI, MHE. YAHYA SAMAMBA MKUTANO WA WAZIRI WA MADINI NA WATOA HUDUMA KWA WAMILIKI WA LESENI ZA MADINI, MWANZA

Read More

Na Mwandishi wa A24tv. Serikali imetenga takriban Shilingi Bilioni 2 kwa kuboresha Maktaba 22 ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kuboresha Maktaba zote nchini ili kutoa fursa kwa wanafunzi, walimu na wakazi wengine wa ndani na wanaoishi nje ya nchi kupata maarifa. Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akizindua Maktaba iliyojengwa na …… ugweno……kwa ajili ya wanafunzi na wananchi wa Eneo hilo. Akizungumza katika hafla hiyo Prof. Mkenda amesisitiza kuwa wadau Binafsi wanakaribishwa kuwekeza katika kujenga Maktaba maeneo mbalimbali Nchini na kuwashukuri wadau waliojitoa kushiriki kujenga Maktaba hiyo ya Ugweno. Maktaba hiyo iliyogharimu …..…

Read More

Na Geofrey Stephen . Leo tarehe 05,Januari, 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Shauri la Uhujumu Uchumi ECC. 16/2023 limetolewa maamuzi ambapo Washtakiwa watatu kati ya nane ambao ni A/Isnp.Hillary Ferdinand Komba,PC – Bartholomew Augustine Maya na PC Apornary Proches Burretta wametiwa hatiani na wote kuhukumiwa kifungo cha miaka 20 kwa kosa la Matumizi Mabaya ya Madaraka k/f Cha 31 Cha Sheria ya PCCA Cap 329 RE 2019 kwa kitendo Cha kufika nyumbani kwa Pro. Maeda na kufanya upekuzi pasipo kufuata utaratibu. Aidha, washtakiwa watano wameachiwa huru kwa kuwa ushahidi haukuweza kuthibitisha makosa dhidi yao. Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv . Wananchi zaidi ya mia saba( 7), kutoka vijiji vitatu vinavyounda Kata ya Lemooti Wilayani Monduli ,wamefanya mkutano mkuu wa kata kwa lengo la kuomba serikali kuingilia kati hali ya sintofahamu juu ya ardhi yao waliyoitenga kwa ajili ya Malisho kuvamiwa na mtu aliyejitambulisha mwekezaji kudai  Eneo hilo ni la kwake. Wananchi hao wamesema Hali hiyo imeendelea kuchukua sura mpya kufuatia uvamizi uliofanywa na Mr Brown aliyetanjwa kwa jina hilo kutoka kampuni ya MAASAI STEPs CONSERVATION kuwakamatakamata wananchi na mifugo akiwaamuru kutofanya shughuli yeyote katika eneo hilo kwani ni mali yake ,ilihali hakuna documents zozote zinazoonyeshwa…

Read More