Author: Geofrey Stephen

Na Geofrwy Stephen Waziri wa Afya,Ummy Mwalimu ameagiza Hospital zote za Mikoa za Rufaa nchini kuhakikisha zinatoa Tiba Kemia lengo ni kumpunguzia mgonjwa kusafiri umbali mrefu kufuata huduma hiyo Jijini Dar es Salam. Mwalimu alisema hayo jana Jijini Arusha mara baada ya kutembelea Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru na kuzindua maabara ya kisasa ya hospital hiyo. Alisema Tiba Kemia hutolewa katika Hospital ya Rufaa ya  Muhimbili na Ocean Road tu na wagonjwa wamekuwa wengi kote nchini hivyo ni wakati wa Hospital za Rufaa za Mikoa kutoa huduma hiyo ili kuwapunguzia wagonjwa umbali mrefui kufuata tiba…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv Dubai: Emirates, inayojulikana kwa ubora wake katika huduma, dhamira ya kuboresha uzoefu wa wateja, na juhudi zake za mara kwa mara katika uvumbuzi, imeshinda tuzo ya Kampuni Bora ya Usafiri na Vifaa vya ugavi katika Tuzo za Biashara za gulf 2023. Tuzo hii inathibitisha tena azma ya ndege hii ya kutoa uzoefu usio na kifani angani na ardhini, katika madaraja yote ya ndege. Heshima hii ilikabidhiwa kwa Sheikh Majid Al Mualla, Makamu wa Rais Mwandamizi wa Masuala ya Kimataifa wa Emirates, katika sherehe iliyofanyika katika hoteli ya Palazzo Versace. Tuzo za Biashara za Gulf ni tuzo…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt.Ashatu Kijaji(Mb) amewasihi wananchi na wakulima wa miwa wa Kata ya Magugu Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kuongeza kilimo cha miwa kwa wingi ili kuweza kulisha kiwanda cha Sukari cha Manyara . Dkt. Kijaji amebainisha hayo Desemba 28,2023 wakati alipotembelea Kiwanda hicho ili kujionea shughuli za uzalishaji na changamoto za Kiwanda hicho kwa lengo la kuzitatua na kuongeza uzalishaji wa bidha muhimu ya sukari Nchini. Dkt. Kijaji amesema kuwa ni wakati sasa wa wananchi na wakulima wa miwa kuongeza kasi ya kilimo cha miwa ili kuweza kukipa nguvu Kiwanda cha…

Read More

Na mwandishi wetu Rungwa Waziri wa Madini Mh. Anthony Peter Mavunde amewataka wamiliki Leseni za madini nchini kuziendeleza leseni husika kwa mujibu wa sheria inavyoelekeza kwa kuwa zipo leseni nyingi ambazo hazifanyiwi kazi na hivyo kuzorotesha ukuaji wa kasi wa sekta ya madini. Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Wilayani Ruangwa,Lindi wakati alipotembelea Mgodi wa Madini Kinywe wa Lindi Jumbo ambao unatarajia kuanza uzalishaji mwishoni mwa mwezi Machi,2024. Akitoa taarifa ya Mradi,Meneja Msimamizi wa Mradi *Mhandisi Chediel Mshana* amesema ujenzi wa mgodi huo umefikia 90% na kwamba ifikapo mwezi Machi,2024 mgodi utakuwa umeanza uzalishaji rasmi wa madini ya kinywe. “Ninawapongeza Lindi…

Read More