Karibu kutazama habari kubwa katika magazeti ya leo ya Tanzania Januari 7 2024 mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .
Author: Geofrey Stephen
Na Mwandishi wa A24Tv. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa wadau mbalimbali kutambua umuhimu wa ushirikiano ili kufikia malengo kwa kuwekeza rasilimali fedha katika kuimarisha utafiti, kuboresha miundombinu ya afya, na kuhakikisha upatikanaji matibabu sawa kwa wagonjwa wa saratani nchini. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo katika jukwaa la uwekezaji linalolenga kuimarisha huduma za saratani nchini, ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam tarehe:06 Februari 2024. Vilevile Rais Dk.Mwinyi ameeleza kuwa kupitia ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi, watafiti na wataalamu wa tiba kunaweza kubadilisha taswira za huduma za matibabu ya…
JUMA NNE YA LEO TAREHE 6 FEBRUARI 2024 KARIBU KUTAZAMA HABARI KUBWA KATIKA MAGAZETI YA LEO YA TANZANIA MBELE NA NYUMA HII NI A24TV. Mwisho .
Na Mwandishi wa A24tv .Zanzibar. Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na sekretarieti ya kamati maalum, sekretarieti za Mikoa na Wilaya CCM Zanzibar katika kikao chake cha kwanza na watendaji hao ukumbi wa Afisi kuu CCM Kisiwandui tarehe: 5 Februari 2024. Aidha, Makamu Mwenyekiti CCM Dk.Mwinyi amesema kazi kuu ya Chama cha siasa ni kushinda chaguzi za dola. Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Mwinyi amempongeza Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia vema Chama cha Mapinduzi na kukiimarisha.…
Karibu Arusha24Tv leo Januari 5 kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .
Na Mwandishi wa A24tv . Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi ametoa wito kwa jamii kutumia mbinu mbalimbali za kuimarisha lishe kwa watoto na mama wajawazito ambazo zitachangia hatua za awali za ukuaji wa mtoto tangu mimba inapotunga, wakati wa ujauzito na baada ya kuzaliwa hadi kufikia umri wa miaka miwili. Mama Mariam Mwinyi amesema hayo katika mkutano wa wadau wa masuala ya afya na lishe kupitia mradi wa lishe unaotekelezwa kwa mashirikiano kati ya Wizara ya Afya Zanzibar, Taasisi ya Benjamin Mkapa na…
TAARIFA KWA UMMA Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari. Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa anapatiwa matibabu. Hivyo Familia inaiomba jamii kumkumbuka kwenye Dua, Sala, na Maombi. Tunamuomba Mwenyezi Mungu amjaalie shifaa ya haraka Mzee wetu pamoja na wagonjwa wengine wote wanaokabiliwa na maradhi mbali mbali. Abdullah Ali Mwinyi Msemaji wa Familia
Juma Mosi ya leo Februari 3 karibu kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho
Na GEOFREY STEPHEN ARUSHA . Wanafunzi katika Kata ya Ngarenaro Jijini Arusha wametakiwa kutokaa kimya dhidi ya vitendo vya Ukatili wa kijinsia pindi vinapotokea au kuona viashiria vyake na badala yake watoe taarifa kwenye ofisi za serikali ama kituo chochote cha Polisi. Wito huo umetolewa leo Februari 02, 2024 na Mkaguzi Kata ya Ngarenaro Jijini Arusha, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Tadey Tarimo wakati akitoa elimu juu ya ukatili wa kijinsia katika shule ya Msingi Swift Juniour Academy School iliyopo mtaa wa kambi ya fisi katika kata hiyo. A/INSP Tarimo amewatoa hofu wanafunzi hao na kuweleza kuwa, Polisi siyo adui bali…
Ijumaa ya leo tarehe, 2 mwaka 2024 karibu kutazama kilicho andikwa katika magazetibya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .