Author: Geofrey Stephen

Na Geofrey Stephen Arusha. Wahitimu wa Taaluma mbalimbali nchini wameshauriwa kutowekeza katika maarifa ya darasani Pekee kwenye kutekeleza majukumu yao badala yake kuwa na utashi utakao wawezesha kubadili mitazamo hasi ya Jamii na hivyo kutokuwa chanzo Cha mitafaruku katika maeneonyao ya kazi . Hayo yamebainishwa katika mahafali ya Saba ya Chuo kikuu Cha Mtakatifu Agustino Tawi la Arusha. Ambapo Askofu wa Jimbo kuu katoliki la Singida EDWARD MAPUNDA Akiwatunuku Astashahada,  Stashahada na Shahada ambao  wanafunzi wa fani mbali mbali chuoni hapo. Amesema kwamba wanafunzi walio pata elimu chuoni hapo wanapaswa kuepuka athari  zitokanazo na kasumba ya waajiri na wanataaluma kuzingatia…

Read More

Na Geofrey  Stephen Arusha Benki ya CRDB imezindua Matumizi ya Kadi ya American Express moja ya kampuni kubwa za huduma za malipo duniani katika mtandao wa Benki CRDB mkoani Arusha. Akizindua Matumizi hayo Mkuu wa mkoa wa Arusha bw.John Mongela alisema kuwa mfumo wa malipo ni moyo wa uchumi wowote ule kote duniani na ufanisi wake ni muhimu kwa maendeleo endelevu. Alisema kuwa Miundombinu imara ya malipo inarahisisha sio inawezesha kufanyika kwa miamala bali pia inachochea ukuaji wa kiuchumi, na inaongeza ujumuishi wa kiuchumi kwa Wananchi. “Katika uchumi wa dunia ya leo unaoendelea haraka, ambapo teknolojia ya kidijitali imeshika hatamu,…

Read More

Na Mwandishi wetu Dodoma na Halle- Ujerumani Wizara ya Madini imepata fursa muhimu ya kutangaza Madini ya Lithium na Madini mengine Mkakati ambayo nchi imebarikiwa kuwa nayo katika Kongamano la LithiumDays23 linalofanyika kila mwaka mjini Halle nchini Ujerumani. Katika kongamano hilo, Tanzania imepewa heshima ya kushiriki kwa njia ya mtandao na ana kwa ana ambapo Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Madini Augustine Olal kwa niaba ya Katibu Mkuu amewaongoza Wataalamu wa Wizara kushiriki kwa njia ya mtandao kutoka Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma. Aidha, katika kongamano hilo, Tanzania imepata nafasi muhimu ya kujitangaza kama nchi ijayo mshirika…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha . Thomas Loy Ole Sabaya amechaguliwa kwa kishindo kua Mwenyekiti Mpya wa chama hicho Mkoa kwa kupata idadi  kura 463 huku mpinzani wake wa karibu Daniel Palagyo akipata kura 374 kati ya kura 951 huku Moja ikiharibika. Uchaguzi huo umekuja kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha Marehemu Zelothe Stephen aliyefariki octoba 26 Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Akiongea mara baada ya kuchaguliwa Sabaya amewashukuru sana wajumbe akisema CCM hii ndio domokrasia maana kijana wangu amenikimbiza na kuonyesha ukomavu hivyo nitashirikiana na Wanachama wote kuanzia ngazi ya kitongoji kuhakikisha Mradi…

Read More