Jumatatu ya leo December 18 karibu Arusha24tv kutazama kilicho Andikwa katika magazeti magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . – Advertisement – Mwisho .
Author: Geofrey Stephen
Juma pili ya leo December 17 karibu Arusha24tv kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .
Na Geofrey Stephen Arusha . Serikali imekipongeza chuo cha Uhasibu Arusha kwa kuja na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika upande wa kilimo, Biashara ,ufundi,utalii ambayo kwa kiasi kikubwa inayoakisi mazingira halisi ya kuisaidia Tanzania katika ukukuzaji wa uchumi. Akiobgea katika mahafali hayo Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde ameyasema hayo kwa niaba ya Waziri wa fedha wakati akizungumza katika mahafali ya 25 ya Chuo cha Uhasibu Arusha yenye wahitimu 5387 yaliyofanyika Katika hoteli ya Ngurdoto wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Amesema serikali imewekeza fedha nyingi katika vyuo vya elimu ya kati na vyuo vikuu, kutokana na jitihada kubwa zinazofanywa…
Na Geofrey Stephen ,Monduli Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha,Joshua Nassari amesema ataongoza zoezi la upimaji wa Ardhi na kuweka bikon katika kijiji cha Bwawani Moita na kuakikisha wananchi wanaondokana na migogoro isiyo kua na tija na kushindwa kufanya kazi za maendeleo katika kata hiyo . Nassari alisema hayo baada ya kuongea na viongozi wa Kijiji cha Moita Bwawani na kusema kuwa serikali inajua kila kitu juu ya mgogoro wa ardhi kwani baadhi ya viongozi wanajipanga na chaguzi zijazo hivyo wanashirikisha wananchi katika kujiandaa na uongozi miaka ijayo. Akizungumza katika mikutano miwili tofauti ya hadhara ya wananchi wa Kijiji…
Na Mwandishi wa A24tv . Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Menejimenti na Utawala Bora Mhe. Riziwani kikwete amesema kuwa Serikali imeboresha mifumo ya upimaji utendaji kazi kwa watumishi wa Umma ambayo itawezesha watumishi kutekeleza majukumu yao waliyopangiwa ipasavyo na kurahisisha kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili watumishi. Mhe. Kikwete amesema hayo wakati akizungumza na watumishi wa wa Chuo cha Ufundi Arusha, wakati watumishi hao wakiwa kwenye mafunzo ya mifumo ya PEPMIS na PIPMIS yaliyofanyika kwenye ukumbi wa chuo hicho. Amesema kuwa mifumo hiyo imekuja kutokana na maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye alielekeza aina ya utumishi…
Juma Mosi ya leo ya tarehe 16 December 2023 karibu kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya Tanzania Hii ni A24tv . Mwisho .
Karibu Arusha24tv leo December 15 kutazama kilicho Andikwa katika magazeti ya leobya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .
Na Geofrey Stephen Arusha . Waziri waMaji, Mhe. JumaaAweso (Mb)amewataka Watendaji wa Wizara ya Maji kutekeleza miradi kwa weledi, viwango na kuzingatia uadilifu. Mhe. Aweso amesema hayo wakati akifungua Mkutano wa wadau wa Sekta ya Maji katika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano (wa AICC) Jijini Arusha, ambao unafanyikakwa siku mbili na kutaka Sekta Binafsi ipewe kipaumbele kama mdau mkuu katika kufanikisha masuala ya maji katika jamii. Amewashukuru na kuwapongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi…
Karibu Arusha24tv leo December 14 kutazama kilicho Andikwa katika Magzeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .
Karibu Arusha24tv leo December 13 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na Nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .