Author: Geofrey Stephen

Na Bahati Siha . Mkuu wa Wilaya Siha mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka ametaka Wananchi Wilayani humu kuchukua tahadhari kuhusu ugonjwa wa homa nyani unaujulikana(MPOX) Haya ameyasema alipopewa nafasi ya kutoa pole nyumba kwa Diwani wa kata ya Sanya juu Juma Jani Baada ya mazishi ya make wa Diwani huyo,ambapo yalihudhuria na Viongozi mbalibali wa Chama ,Dini, Serikali pamoja na madiwani. Akizungumza Mara baada ya kupata frusa hiyo ameitaka jamii kuzigatia kwa kuchukua tahadhari za wataalamu wa Afya ,baada ya hapo kuna vikao mbalibali vitafanyika timu ya Afya,ili Wananchi wote waweze kuchukua tahadhari Amesema tahadhari ya kwanza ni zile zile tulizokuwa…

Read More

Eng. Dkt. Richard Masika (Mwenyekiti wa Baraza DIT) na Prof Preskedis Ndomba (Mkuu wa Taasisi ya DIT) wakipokea Tuzo ya Taasisi iliyofanya vizuri (nafasi ya 3) katika Ukaguzi Wa Mashirika Ya Umma Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23 kutoka kwa Rais wa JMT Mhe. Samia Suluh Hassan katika KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA, AICC Arusha. Mwisho

Read More

Na Mwandishi wa A24tv . Waziri wa viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Suleimani Jaffo (Mb) amesema Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 14 kwa ajili ya kulipa fidia Wakazi wa Kata ya Engaruka wilayani Monduri Mkoani Arusha ili kupisha ujenzi wa Kiwanda cha magadi soda unaotarajiwa kuanza utekelezaji hivi karibuni. Vilevile Waziri Jafo amewahakikishia wakazi wa eneo hilo kuwa, kila anayestahili kulipwa fidia atapewa haki yake na kuwaasa kuacha udanganyifu kwenye ulipwaji wa fidia kwa kuwa Serikali ilishafanya uhakiki wa majina kwa wale wote wanaostahili kulipwa. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) akiangalia na kupokea maelezo…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha . Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo(Mb) ametoa rai kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kuongeza kasi ya ununuzi wa transfoma zinazozalishwa na Kiwanda cha Tanelec kwa kuwa Taasisi hizo ni wamiliki wa sehemu ya hisa za kiwanda hicho ili kukiwezesha kiendelee kukua na kuongeza ajira nchini. Dkt Jafo ameyasema hayo Agosti 24, 2024, Mkoani Arusha, alipotembelea viwanda, kuongea na Wafanyabiara pamoja na Maafisa Biashara wa Mkoa huo kwa lengo la kujionea shughjuli za uzalishaji, kusikiliza changamoto na kuona njia bora ya kuzitatua kwa kushirikiana na Taasisi…

Read More