Na Mwandishi wa A24tv Viongozi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu wamekagua maandalizi ya kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani Desemba 1, 2023 katika Viwanja vya Morogoro Sekondari ambapo maandalizi hayo yamekamili.Katika ukaguzi huo waliongozwa na Mhe. Jenista Mgahama ambaye ndiye Waziri mwenye dhamana ya uratibu. Ikumbukwe maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani hufanyika kila mwaka ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema “Jamii Iongoze Kutokomeza UKIMWI”. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa. Mwisho .
Author: Geofrey Stephen
Na Mwandishi wetu Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kuwaelimisha na kuwajenga vijana katika maadili mema, kuwaepusha na maambukizi ya VVU na kudhihirisha jitihada za pamoja kati ya Taasisi za dini na Serikali katika kulinda na kuhamasisha vijana kutambua hali zao za maambukizi ya VVU na kupata elimu ya Afya ya Uzazi. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi katika ufunguzi wa Mdahalo kati ya Vijana na Viongozi wa dini uliofanyika Tarehe 29, 2023 mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya shughuli mbalimbali zinazoendelea kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI…
HABARI PICHA Na mwandishi wetu Dkt. Yonazi aridhishwa na maandalizi ya Kuelekea Siku ya UKIMWI Duniani Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ametembelea mabanda mbalimbali na kujionea maandalizi yaliofanywa na wadau mbalimbali kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yatakayofanyika 1 Disemba,2023 katika Viwanja vya Morogoro Sekondari ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa(mb) Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “Jamii Iongoze Kutokomeza UKIMWI” Aidha ametumia nafasi hiyo kuwahimiza wananchi kujitokeza katika maadhimisho hayo na kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali…
November 30 karibu Arusha24Tv kutazama kili ho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .
Karibu Arusha24tv leo november 29 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Hii ni A24tv . Mwisho.
Na Geofrey Stephen Arusha . Wito umetolewa kwa watafiti na wanataaluma nchini kujikita katika kufanya tafiti zenye tija kwa Taifa na zinazoleta majawabu kwenye changamoto zinazoikabili jamii inayowazunguka. Wito huo umetolewa leo na Naibu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaalam, Prof. Epaphra Manamba; alipomwakilisha Mkuu wa Chuo katika ufunguzi wa Kongamano la Kitaaluma la Vitivo linalowahusisha wanataaluma na wanafunzi wa shahada ya Uzamili IAA katika kuwasilisha tafiti zao, machapisho na kufanya mijadala ya kina. Prof. Manamba amesema kupitia kongamano hilo wanafunzi wamewasilisha tafiti zinazolenga kuangalia Taifa kwa baadaye kwenye maeneo ya Uchumi,Bima,Utalii, Fedha,…
Karibu Arusha24Rv leo November 28 Kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na Nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .
Na Anangisye Mwateba-Arusha Naibu Waziri wa Maliasili na utalii Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) amewataka wanataaluma waliopo katika vyuo vya misitu kutumia taaluma za kupata suluhisho la migogoro ya mipaka kati ya hifadhi za misitu na makazi ya wananchi. Mhe. Kitandula ameyasema hayo alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea Taasisi ya Elimu ya Misitu Olmotonyi jijini Arusha na kuongeza kuwa wanataaluma hao wanategemewa na Taifa kutokana na maarifa wanayoyapata vyuoni. Aidha, Mhe. Kitandula ameongeza kuwa kwa sasa wizara ya maliasili na utalii iko kwenye mkakati wa kuunganisha vyuo vyote vilivyo chini ya wizara ya maliasili ili viwe chini ya Chuo kimoja lengo…
Na Mwandishi wa A24tv . huyo wa Kijiji Pendeza anahisa asilimia 75 na Kijiji kinamiliki hisa asilimia 25 lakini shughuli zote za uendeshaji zinafanywa na Pendeza na uzalishaji ukipatikana kila mmoja anapaswa kupata haki yake kwa mujibu wa mkatana. Alisema madini ya ruby yanayozalishwa yanapaswa kuwekwa mezani ili bodi ya usimamizi wa mgodi ya Kijiji ijue na kabla ya mgao na shughuli zote zisimamiwa na maofisa wa Wizara ya Madini kabla ya serikali kuchukua kodi yake. Waziri Kiruswa aliwataka waendesha shughuli za uchimbaji kushirikiana na Bodi ya Kijiji yenye wajumbe tisa katika shughuli za kila siku na uzalishaji ukipatikana ili kuondoa…
Juma tatu ya leo tunakukaribisha kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .