Author: Geofrey Stephen

Na Richard Mrusha. MBUNGE wa Jimbo la Ulanga na Mkurugenzi wa kampuni ya Ruby International limited inayojishughhulisha na uchimbaji pamoja na ununuzi wa madini ya vito (SIPNEL)Tanzania na nje ya nchi Salim Hasham Amesema wanaendelea kufanya shughuli hizo ikiwa lengo kubwa ni kupata riziki na kusaidia nchi Kwa ajili ya kusapoti kauli mbiu ya Vision 2030 madini ni maisha na utajiri. Pia Amesema wanajaribu kuwatia hamasa na wengine ambao hawapo kwenye sekta hiyo ili waweze kuingie Kwaajili ya kwenda kufanya kazi hiyo ili kupata riziki napia Kuitangaza nchi na kuipatia mapato hivyo kazi hiyo wameanza muda mrefu kwenye migodi ya…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha. Katika operesheni ya kimya kimya Mkuu wa wilaya ya Arusha Felician Mtehengerwa kwa kushirikiana na jeshi la Polisi jijini hapa,wamekamata lita 1785 za Mafuta ya Petroli na Dizeli,yanayodaiwa kuibwa na madereva wa serikali pindi wanapoenda kuweka mafuta kwenye  magari ya serikali. Akiongea mara baada ya operesheni hiyo Mtehengerwa alisema kuwa mafuta hayo yalipatikana baada ya taarifa za siri za msamalia wema ,yakiwa yamefichwa kwenye nyumba moja iliyopo mtaa wa Kambarage katika kata ya Themi jijini Arusha huku mtuhumiwa Jofrey Makala akifanikiwa kutoroka. Mkuu huyo wa wilaya alisema kuwa mtuhumiwa huyo amekuwa akinunua mafuta hayo kutoka kwa…

Read More

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zambia Bi Lillian Bwalya pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Usimamizi na Uchumi) Bw. Elijah Mwandumbya wakiongoza Mkutano ngazi ya Makatibu Wakuu wakati wa Mkutano wa Pili wa Pamoja wa Kujadili Changamoto za Biashara baina ya nchi hizo unaofanyika katika Mpaka wa Nakonde – Zambia Novemba 07, 2023. Mwisho .

Read More

Na Mwandishi wa A24tv .Zambia katibu Wakuu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zambia Bi Lillian Bwalya wamesaini nyaraka za makubaliano (Communique) ya changamoto za kibiashara kati ya Tanzania na Zambia zilizoondolewa na zile zilizobaki kutatuliwa kabla ya Novemba 30, 2023. Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zambia Bi Lillian Bwalya wakisaini nyaraka za makubaliano (Communique) ya kutatua changamoto za kibiashara kati ya Tanzania na Zambia katika Mkutano ngazi ya…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv .Zambia Tanzania na Zambia zimekubali kutatua changamoto 25 za kibiashara zilizopo ifikapo Novemba 30, 2023 ili kuiwezesha sekta binafsi kufanya biashara bila vikwazo vyovyote baina ya nchi hizo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu Kijaji na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Zambia Mhe. Chipoka Mulenga wa Zambia wakiwa pamoja na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposya Kihenzile (Mb.) walipokutana na kushiriki Mkutano wa Pili wa Pamoja wa Kujadili Changamoto za Biashara baina ya nchi hizo ngazi ya Mawaziri uliofanyika katika Mpaka wa Nakonde, Zambia Novemba 07, 2023. Aidha, Dkt.…

Read More

Na Mwandishi wa A24tv Dodoma . Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda leo Novemba 8, 2023 Jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Ujumbe wa UNICEF ukiongozwa na Mwakilishi wa Shirika hilo nchini Bi Eike Wisch. Katika mazungumzo hayo viongozi hao wamejadili kuhusu Sera ya urudishwaji wa wanafunzi waliokatizwa masomo kutokana na sababu mbalimbali kama vile utoro, utovu wa nidhamu, kupata ujauzito na walioshindwa kuhudhuria masomo kwa muda mrefu. Wamesema uamuzi huo wa kuwarejesha shuleni wanafunzi hao umewapa fursa kupata elimu ambayo ni haki ya msingi na kuwasaidia kukamilisha mzunguko wa elimu katika mfumo rasmi…

Read More