Na Richard Mrusha NAIBU Waziri wa madini Dkt.Steven Kiruswa amefungua mkutano wa siku tatu wa wakandarasi waliowekeza katika madini yanayopatikana chini ya sakafu ya bahari kuu 2023 na utajadili agenda mbalimbali kuhusu masuala ya utafiti ,uchimbaji ,na utunzaji wa Mazingira yaliyo chini ya sakafu ya bahari kuu. Amesema mkutano huo ni kuendelea na utekelezaji wa Article 145 kwenye UNCLOS 1982 na makubaliano ya mwaka 1994 kuhusu shughuli za uchimbaji wa madini kwenye sakafu ya bahari. DKT Kiruswa ameyasema haya leo octoba 22, 2023 jijini Dar es salaam wakati akifungua mkutano huo ambapo Amesema pamoja na kuwa nchi wanachama wa umoja…
Author: Geofrey Stephen
Na Geofrey Steohen Arusha. Taasisi mbalimbali za kiraia zinatarajia kukutana jijini Arusha kwa kujadili na kutatua changamoto mbalimbali zinazoathiri mifumo ya techenolojia kwa lengo la kuimarisha na kuboresha SEKTA hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi wa kituo cha sheria na Haki za binadamu Dkt Anna Henga amesema changamoto inayowaathiri wananchi ni pamoja na kukosekana kwa mtandao hasa vijini na kukatika kwa umeme mara kwa mara. Na hiyo upelekea jamii kubwa kukosa mawasiliano jambo ambalo linarusha nyuma maendeleo hususani katika kuwasikiana na kuwasilisha changamoto zinazo wakabili kwa kukosa mawasiliano muhimu ya kidigital Kwa upande wake Mwenyekiti wa kamati ya wiki…
Na Mwandishi waA24Rv Dubai, Oktoba 2023 Shirika la Ndege la Emirates linachukua hatua kubwa katika ahadi yake ya uhifadhi wa mazingira na uhifadhi wa wanyama pori kwa kuwasilisha vifaa vya huduma vipya na bure kwa abiria wake wa madaraja ya Premium Economy na Economy katika safari ndefu ulimwenguni. vifaa hivi vya huduma vitakavyopatikana kwenye ndege ni matokeo ya ushirikiano wa pekee na umoja wa wanyamapori, ilioundwa kutoa ufahamu juu ya baadhi ya spishi za wanyama zilizo hatari kupotea zaidi duniani. Uhifadhi wa wanyama pori na mazingira ya asilia umekuwa moyoni mwa Mfumo wa Uhifadhi wa Mazingira wa Emirates kwa muda…
Karibu Arusha24Tv leo October 20 Kutazama kilicho Andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv Mwisho .
Na Geofrey Stephen Arusha KIKAO kazi cha Watendaji Wakuu wa Mahakama kutoka Nchi za Kusini Mwa Mashariki ya Afrika (SEAJAA) kitafanyika Oktoba 22, 2023 Jijini Arusha Kikao kazi hicho kitakua na mada mbali mbali ambazo zitawasilishwa ni pamoja na ajenda za marekebisho ya katiba ya chama hicho ikiwemo uboreshaji wa vyanzo vya fedha, uboreshaji wa mtandao wa chama hicho, Madazingine ambazo zitajadiliwa katika kikao kazi hicho ni pamoja na maswala ya fedha huku nchi 13 za umoja huo zitakazoshiriki mkutano huo ni pamoja Angola, Botswana, Lesotho, Zanzibar, Shelisheli, Zimbabwe, Malawi, Msumbiji, Eswatini, Zambia, Namibia na mwenyeji Tanzania. Akiongea na mapema…
Na Geofrey Stephen ARUSHA Wakati Taifa likiadhimisha siku ya mwanamke anayeishi kijijini yanayofanyika kila mwaka oktoba 15 ,mkazi wa kijiji cha Misigiyo wilayani Ngorongoro Mkoa wa Arusha,Veronica Makutiani(29) mambo yamekuwa tofauti ambapo mwanamke huyo. amenusurika kuuawa kikatili kwa kipigo cha baba yake mzazi wakishirikiana na kaka yake kiasi cha ujauzito wake kutoka, wakimlazimisha kurejea kwa mume wake katili aliyekuwa akimtesa kwa kipigo na kumlaza njaa yeye na watoto wake wawili. Akisimilia mkasa huo kwa uchungu huku akibubujikwa na machozi akiwa amehifadhiwa kwa msamalia mwema Rose Njilo anayefanyakazi shirika la MIMUTIE WOMEN ORGANIZATION la jijini Arusha alisema haamini kama mzazi wake…
Na. Mwandishi wetu-Dar es salaam Wanafunzi wa chuo cha Taifa cha Utalii nchini Tanzania (NCT) wanatarajiwa kuanza kufanya mazoezi ya utendaji kazi katika nchi za Denmark, Norway, Ujerumani na Sweden. Haya yamebainishwa na Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. Florian Mtey baada ya kutembelewa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Bixter.work, Bi. Nataliya Jorgensen na Mkuu wa Kituo cha SUGECO Bw. Revocatus Kimario ofisini kwake jijini Dar es salaam. Dkt. Mtey amebainisha kwamba fursa hii ambayo wanafunzi wa chuo hicho cha Utalii wanaenda kuipata italeta tija katika fani ya ukarimu kwa vile kwa sasa soko la utalii nchini limekuwa kubwa kutokana…
Karibu Arusha24Tv leo October 19 kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . – Advertisement – Mwisho.
Na mwandishi wetu Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuweka kipaumbele katika kusambaza Vituo vya Nishati ya Gesi Iliyoshindiliwa (CNG) inayotumika katika kuendesha mitambo na magari nchini ili kukabiliana na changamoto za upatikanaji wa mafuta pale zinapotokea. Ushauri huo umetolewa leo Oktoba 18, 2023 jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Mathayo David wakati Kamati hiyo ilipopokea taarifa ya Wizara ya Nishati, kuhusu hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa mradi wa kuanzisha vituo hivyo. “Tunashauri Serikali iweke kipaumbele katika matumizi ya gesi asilia katika maeneo mbalimbali nchini…
Na Geofrey Stephen Arusha Shule yenye mchepuo wa kiingereza ya Tanganyika School iliyopo Njiro jijini Arusha imewaliza wazazi na kuwaacha katika mataa mara baada ya kukusanya mamilioni ya fedha kwa kujihusisha na utoaji wa huduma ya Bima ya Afya kwa wanafunzi kinyume cha sheria bila kusajiliwa na kukusanya sh,milioni 207.6 kwa kipindi cha miaka 10 kuanzia mwaka 2014. Akiongea na vyombo vya habari jijini Arusha Kamishna wa Bima nchini Dkt Baghayo Saqware alisema kuwa shule hiyo imekuwa ikiendesha huduma hiyo kwa kutoza ada ya Bima ya afya ya sh,200,000 kwa mwaka kwa kila mwanafunzi wa shule ya msingi na sekondari…