Na Ahmed Mahmoud Umoja wa Wanasayansi ya Udhibiti wa Wadudu waharibifu wa Mazao nchini(TEA) umeeleza utaendelea kufanya utafiti zenye kuleta matokeo sahihi ya kukabiliana na Wadudu waharibifu ambao wanaleta athari kwa Afya za binadamu wanyama na Mazingira. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania TPHPA Prof.Joseph Ndunguru katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanasayansi waudhibiti wa visumbufu vya Mazao unaofanyika Jijini Arusha. Amesema kwamba uwepo wa majadiliano ya tafiti utasaidia kuongeza tija na kuboresha uzalishaji wa mifugo Mazao na hivyo kuongeza soko na usalama wa chakula nchini. “Mkutano huu ni Jukwaa la…
Author: Geofrey Stephen
Na Mwandishi wa A24A24Tv Katika Mwaka wa fedha 2023-2024 Halmashauri imeendelea kusimamia na kutekeleza miradi mbali mbali ya Maendeleo na shughuli za serikali kupitia Mapato ya ndani na Ruzuku ya serikali kwa fedha zilizotolewa mwaka 2022-2023 na fedha za Mapato ya ndani zilizotolewa Mwaka 2023-2024. Shughuli na majukumu mbalimbali yamesimamiwa na kutekelezwa kama ifuatavyo: Sekta ya Utawala Ujenzi wa ofisi za Kata Sakina na Osunyai umekamilika bado uwekaji wa samani mpya. Ofisi ya Kata Osunyai wamepatiwa fedha za uwekaji samani Tshs 3,000,000.00 zilizotolewa Mwezi Juni,2023. Ofisi ya Kata ya Moivaro Inaendelea na ujenzi, imepauliwa, kwa sasa inaendelea kupigwa ripu,…
Na Mwandishi wa A24tv . Dubai, 25 septemba – Emirates SkyCargo sasa imekuja na suluhisho kwa wateja wake kupitia soko la CargoAi na CargoMART, ikisonga mbele zaidi katika uzoefu wa digital kwa wateja kwa kurahisisha mchakato wa kuagiza mizigo huku mteja akiwa na taarifa halisi za mzigo wake kila hatua. Ushirikiano huu ulianzishwa Uholanzi, Hispania, na Ufaransa, na utawafikia wateja katika nchi zilizochaguliwa barani Ulaya, Amerika, Afrika, Mashariki ya Mbali, na Australasia katika miezi ijayo. Kupitia suluhisho la CargoMART, wateja watapata ratiba za Emirates SkyCargo, viwango vya ushuru na mikataba, pamoja na upatikanaji wa wakati halisi wa mzigo hadi uliopo,…
Na Mwandishi wa A24Tv . Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Afisa yeyote wa Serikali atakayekwamisha ufanyaji biashara, uwekezaji au uanzishwaji viwanda nchini ni adui namba moja wa Serikali na atachukuliwa hatua za kisheria. Vilevile, Ametoa wito kwa watendaji hao kuwezesha uwekezaji, ufanyaji biashara, uanzishaji viwanda na kuhakikisha kila mwekezaji anapata anachostahili kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo. Dkt. Abdallah ameyasema hayo Septemba 25, 2023, wakati akiongoza Kamati Maalum ya Katibu Mkuu Kiongozi inayojumuisha Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Fedha, Mipango na Uwekezaji, Kilimo na Katibu Tawala Mkoa wa Kagera walipotembelea…
• *Waziri Mavunde Aainisha Programu ya MBT* • *Itashirikisha vijana kwa asilimia 100* • *Asilimia 70 ya fedha za migodi ni manunuzi* Serikali kupitia Wizara ya Madini imeanisha Programu ya _Mining for Better Tommorrow (_ MBT) itakayo wawezesha vijana kushirikishwa katika sekta ya Madini kwa kujengewa uwezo na kupatiwa mitaji , vifaa na mashine ili wachimbe madini kwa uhakika bila kupoteza mitaji. Hayo yamebainishwa leo Septemba 28,2023 na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde katika kongamano la Mpango wa Ushirikishwaji Wananchi kwenye Sekta ya Madini (local content) lililofanyika Viwanja vya EPZ Mkoani Geita. Akielezea kuhusu programu ya MBT , Mhe.…
Na Richard Mrusha Geita WAZIRI WA Madini Antony Mavunde amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan iko katika mazungumzo baina ya wizara ya Madini na Tanzania Banker’s Association, taasisi zote za fedha (MABENKI), STAMICO na wadau wa sekta Madini kujadiliana ili kuona ni changamoto gani zinazosababisha mchimbaji wadogo wa Madini wasiwe na vigezo vya kuweza kupewa mkopoo. Hayo ameyesema Leo Alhamis September 28,2023 katika kongamano la kujadiliana fursa zilipo Geita pamoja na “Local Contect” kwenye Maonesho ya sita sita ya kimataifa ya teknolojia ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZA bombambili halmashauri ya mji…
Karibu Arusha24Tv leo September 29 kutazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24TV . Mwisho .
Na Richard Mrusha Geita WAZIRI wa Madini Antony Mavunde amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais DKT. Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia sheria ya Local contect ili kuhakikisha watanzania wananufaika na rasilimali zao ikiwemo madini ya dhahabu . Mavunde ameyasema hayo alipotembelea mmoja wa wawekezaji wa wazawa mkoani Geita Athanas Inyasi anaemiliki kampuni ya blue coast ili kujionea namna alivyonufaika na sheria ya Local contect ambapo amewasisitiza wafanyabiashara ,wachimbaji kujitokeza kuomba zabuni . “Kwa hiyo nitoe rai kwa makampuni mengine yakitanzania kuchangamkia fursa hii sisi kama serikali tutahakikisha tunaisimamia sheria hii vizuri ili watanzania wengi zaidi waweze kunufaika…
Na Richard Mrusha Geita ZAIDI ya Shilingi za kitanzani Bilioni 5 zimewekezwa katika Maabara ya MSALABS inayopima sampuli za Madini kwa kiwango cha kimataifa mkoani Geita. Hayo yamebainishwa Septemba 27, 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Maabara ya MSALABS Mugisha Lwekoramu wakati wa ufunguzi wa Maabara hiyo iliyoanzishwa mwaka 2020 ikiwa ni kampuni tanzu ya MSALABS yenye makao makuu yake nchini Canada. Akizungumzia kuhusu teknolojia inayotumika katika Maabara hiyo Lweramu amesema Maabara hii inatumia teknolojia ya kisasa ya upimaji wa sampuli kwa mionzi yaani (PhotoAssay) ambayo ni rafiki kwa utunzaji mazingira kwasababu haitumii kemikali au moto katika upimaji sampuli.8…
Karibu Arusha24Tv leo September 2023 kutazama kilicho andikwa katika magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv . Mwisho .