Author: Geofrey Stephen

Na Geofrey Stepben Arusha 28 Mwezi Agosti 2023 Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na makampuni ya waongoza watalii nchini limepanga kuadhimisha miaka 62 ya uhuru kwa kuwapeleka idadi kubwa ya watanzania katika kilele cha Mlima Kilimanjaro . Hayo yameelezwa na naibu Kamishna wa Uhifadhi na Maendeleo ya Biashara TANAPA Herman Batiho wakati akiongea na vyombo vya Habari makao makuu ya TANAPA jijini Arusha,kuelekea sherehe za uhuru zinazofanyika kila mwaka desemba 9,na kusema kuwa mwaka huu wamepanga kufanya tukio hilo la kihistoria kwa kuongeza idadi ya watanzania kupanda mlima Kilimanjaro. “Maadhimisho haya yamekuwa yakifanyika kwa kupandisha bendera…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv Agosti 25 – Huko Nchini Dubai Wanasema safari ni muhimu kama vile marudio na Emirates haikukubali zaidi. Kiini cha safari yake kwa wateja ni wafanyakazi wa kipekee ambao hutoa uzoefu wa sahihi wa ndege kwa urefu wa futi 38,000 huko angani. Imeelezwa Timu ya wahudumu wa ndege ya Emirates hivi majuzi ilivuka hatua muhimu na sasa ina watu 20,000, huku shirika la ndege likiendelea kupiva hatua kubwa kwa  kuajiri wafanyakazi wa kutoka duniani kote ili kukidhi mwelekeo wake wa ukuaji uliopangwa. Tangu Mwaka  2022, shirika la ndege imekuwa likiandaa matukio ya kuajiri katika miji 340 katika…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv TANGA – Wazazi na Walezi wameaswa kujenga mahusuiano mazuri na walimu ili kumuwezesha mwanafunzi kuwa na uelewa mzuri,maadili mema na nidhamu iliyo bora. Hayo yamebainishwa leo katika Mahafali ya Kuwaaga Wanafunzi wa darasa la Saba wa shule ya msingi Abdulfadhil Abbas Islamic iliyopo mkoani Tanga wanaotarajia kufanya mtihani wao wa kumaliza elimu ya Msingi mwezi septemba mwaka huu. Akizungumza katika mahafali hayo mgeni rasmi ambaye ni mkurugenzi wa Taasisi ya Ahlul Bait East Afrika Syd Sheikh Sharif Alwi amesema katika elimu kuna nguzo mbili muhimu ambazo ni Wazazi na Walimu ambao wanapaswa kila mmoja kusimama nafasi…

Read More

Na Richard Mrusha, Ruangwa Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Donresources Mukhusin kikulu amesema uwepo wa maonesho ya madini na uwekezaji mkoa wa lindi umefungua fursa kwa wakazi wa mkoa wa lindi na ukanda wa kusini kwa ujumla wake kwenye sekta ya madini. Amesema wao kama kampuni ya kizawa wameata fursa ya kushiriki kataki maonesho hayo kazi kubwa yanayoifanya wamewekeza kwenye sekta ya madini haswa kwenye usambazaji wa vifaa na kufanya tafiti mbalimbali kwenye maeneo ya madini na ushauri. Amesema maonesho hayo yameweza kufungua fursa na kuelekea kutambua na kugundua maeneo muhimu ambayo yanaonyesha yana madini ili shuguli za uzalishaji ziweze…

Read More

Na Emmanuel mkulu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amefungua Tamasha la pili la kitaifa la Utamaduni Agosti 25, 2023 katika viwanja vya Stendi ya zamani mkoani Njombe. Katika Tamasha hilo wananchi wa Mkoa wa Njombe wameendelea kupata burudani na fursa ya kuuza na kuonesha bidhaa zao huku mikoa mbalimbali iliyohudhuria tamasha hilo pia ikiendelea kunufaika kupitia vikundi na Sanaa, ngoma na Utamaduni kwa kuuza kazi zao za ubunifu Akifungua Tamasha hilo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Pindi Chana amesema tamasha hilo ni utekekezaji wa Sera ya Utamaduni ya mwaka 1997 ambayo…

Read More

Na Richard Mrusha.Ruangwa KITUO cha uwekezaji Tanzania (TIC) kimewataka watanzania kote nchini kuweza kuanzisha miradi mbalimbali ikiwemo kwenye sekta ya madini na kuweza kuzalisha ajira nakuongeza thamani Kwa lengo la kuanyanyua uchumi wa maendeleo nchini. Akizungumza katika kongamano la uwekezaji lililofanyika katika viwanja vya soko jipya _kilimahewa wilayani ruangwa katika Mkoa wa Lindi ambapo yanafanyika Maonesho ya madini Afisa uwekezaji mkuu wa TIC Girson Ntimba Amesema ipo haja Kwa watanzania kujitokeza na kuwekeza katika sekta hiyo. Amesema kuwa kufanya hivyo kutaweza kuimarisha uchumi wa nchi na katika hilo tayari Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu…

Read More

Na Richard Mrusha,Ruangwa WACHIMBAJI wa Madini mkoani Lindi wameiomba Serikali kuongeza nguvu ya umeme hasa katika maeneo ya migodi Ili kuongeza kasi ya utendaji kazi katika uzalishaji wa madini mkoani humo. Akizungumza na waandishi wa Habari Moja ya Kampuni ya wachimbaji wa Madini mkoani humo amesema licha ya changamoto hiyo pia Kuna changamoto ya barabara kuelekea katika migodini . Meneja wa Kampuni ya uchimbaji Madini ya Elianje iliyopo katika Kijiji Cha Chingungwe wilaya ya Ruangwa Philbert Massawe amesema,changamoto hizo ni miongoni mwa mambo yanayodhoofisha shughuli za uchimbaji katika maeneo yao. Kufuatia hali hiyo ameiomba Serikali kutatua changamoto hizo Ili kuongeza…

Read More