Author: Geofrey Stephen

Na Richard Mrusha mbeya WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda ameonyesha kufurahishwa na bunifu zinazofanywa na Tume ya Sayansi na Teknlojia (COSTECH) pamoja na Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA) huku akitoa rai kwamba bunifu hizo sasa ziingie sokoni kutatua changamoto katika jamii badala ya kuonekana kwenye maonyesho mwaka hadi mwaka. Prof.Mkenda ametoa rai hiyo alipofanya ziara yake katika maonyesho ya Wakulima Nane Nane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya na kutembelea katika mabanda ya COSTECH na VETA kujionea kazi za wabunifu huku baadhi ya kazi zikiwa tayari zipo sokoni.4 “Nimefurahishwa na bunifu ambazo tayari zimeanza kuingia sokoni…

Read More

Na Richard Mrusha Mbeya MKUU wa Wilaya ya Ludewa Victoria amesema kubwa Wilaya ya Ludewa nao wanashiriki maonyesho haya ya Kimataifa ya kilimo Nane nane ambayo yanafanyika hapa Jijini Mbeya na kesho ndiyo kilele cha maadhimisho haya ambayo yatafungwa rasmi na Rais Samia wa Jamhuri ya muungano Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa kama mkuu wa Wilaya ya Luwa leo agost 7,2023 amepata wasaa wa kutembelea mabanda mbalimbali likiwemo banda la tigo ,na kuongeza kuwa tigo ni wadau muhimu katika kufikisha na kurahisisha mawasiliano kwa wananchi. Mkuu huyo wa Wilaya amesema kubwa pia naye amepata elimu juu ya product mpya ya…

Read More

Na Richard Mrusha mbeya KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) John Maige amesema katika msimu huu wa kilimo tayari Bodi hiyo imeshanunua takriban tani 35,000 za mazao mbalimbali ya wakulima hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya kwenye Banda ya Bodi hiyo ,Maige amesema miongoni mwa mazao yaliyonunuliwa ni pamoja na mahindi,mpunga ,alizeti na maharage . Amesema mwaka huu Bodi hiyo imepanga kutumia takriban shlingi bilioni 100 huku akisema mpaka sasa tayari wameshatumia shilingi bilioni 29 huku akisema kazi hiyo ya kununua mazao bado inaendelea. “Bado tunaendelea na…

Read More

HABARI PICHA, Na Richard Mrusha WANANCHI WALIVYOFURIKA KWENYE BANDA LA CHUO KIKUU CHA MZUMBE MAONESHO YA NANENANE MBEYA Prof. Henry Mollel, Rasi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya (Kushoto), akimkabidhi zawadi ya kikombe Mhe. Shamata Shaame Khamis, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (Kulia), alipotembelea Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, Kwenye maonesho ya Nanenane 2023 Mhe. Shamata Shaame Khamis, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (Katikati), akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, Kwenye maonesho ya Nanenane 2023 Prof. Henry Mollel, Rasi wa…

Read More

Na Richard Mrusha, mbeya Wito umetolewa kwa wananchi hususani wakulima pamoja na wafanyabishara katika Mkoa wa Mbeya kuendelea kujitokeza kwa wingi kwenye banda la Brela katika maonesho ya kimataifa ya Kilimo Nane nane 2023 ili kusajili biashara zao pamoja na makampuni. Mkuu wa kitengo cha uhusiano BRELA Roida Andusamile amesema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda lake katika maonesho hayo. Mkuu huyo wa kitengo cha uhusiano BRELA amesema kuwa zaidi ya watu 150 tangu kuanza kwa maonesho hayo kwenye viwanja vya John Mwakangale tarehe 1,8,2023…

Read More

Na Richard Mrusha ,Mbeya KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Tigo imekuja na njia ya kidigitali ya kumrahisishia mkulima kujifunza namna ya uzalishaji wa mazao bora kwa njia ya mtandao ambapo inatoa mkopo wa simu janja kwa wakulima ambao hutanguliza pesa kidogo ili waweze kumudu gharama za kupata simu hizo. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kujifunza kilimo mtandaoni kupitia simu za mkononi,Meneja mauzo na usambazaji wa Tigo mkoa wa Mbeya Ronald Richard amesema,kwa kutumia simu janja (Smart phone) mkulima anaweza kufanya kazi zake za kilimo kisasa zaidi na kuongeza uzalishaji. “Tumeamua kuja na bidhaa hii kwa ajili katika maonyesho…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha Madaktari Bingwa wapatao 60 wa Mifupa na Nyongo kutoka Los Angelos Jimbo la Califonia Nchini Marekani wanatarajia kutua  Nchini Agosti 10 mwaka huu kwa ajili ya kutoa huduma ya matibabu bure ya upasuaji wa magoti na nyonga.   Madaktari hao  ambao ni marafiki wa Rais Samia Suluhu Assan watawasili nchini siku hiyo katika uwanja wa ndege majira ya saa 2 usiku na watafanya shughuli za upasuaji kwa wagonjwa 200 ambao tayari wameshajiandikisha  na shughuli hiyo wataifanya kwa wiki mbili katika hospital ya rufaa ya Arusha Lutheran Medical Centre ALMC, (Seliani) inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kiluthei…

Read More

Na Richard Mrusha MBEYA Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis amehimiza wananchi kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali katika Mapambano Dhidi ya Virusi vya UKIMWI nchini kwa kuendelea kuzingatia elimu inayotolewa kuhusu masuala hayo. Ametoa rai hiyo Agosti 6, 2023 alipotembelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu katika maonesho ya Kilimo Kimataifa yanayoendeleo Jijini Mbeya. Maonesho ya mwaka huu yamebebwa na Kauli mbiu inayosema “Vijana na Wanawake ni Msingi Imara wa mifumo Endelevu ya Chakula” “Tunapaswa kuungana kwa pamoja, katika mapambano haya ya Virusi vya UKIMWI na kuhakikisha kila anayegundulika…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv .Mbeya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amekutana na Balozi wa Japan nchini Tanzania Balozi Yasushi Misawa kujadiliana kuhusu ushirikiano katika sekta ya elimu ikiwemo uendelezaji mafunzo Vyuo vya Ufundi ambapo kwa sasa inapewa msukumo mkubwa ili kuwawezesha vijana kupata Ujuzi. Majadiliano hayo yamefanyika leo Agosti 7, 2023 Mkoani Mbeya, ambapo pia wamezungumzia umuhimu wa kuongeza fursa za ufadhili wa masomo kwa Watanzania katika Elimu ya Juu nchini Japan. Balozi Yasushi ameeleza kwamba takribani Watanzania 40 kila mwaka wanapata nafasi ya kwenda kusoma nchini Japan kupitia Skolashipu ya African Business Education (ABE). Ameongeza…

Read More