Katika Mkutano wa Adhara Soko kuu la Arusha Kada wa chama chamapinduzi Ccm Noel Ole Varoya amekiama chama chake hicho na kujiunga na Chadema uku akisema amechoka kua utumwani.
Akimpokea kada uyo mpya wa Chadema Mwenyeliti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Godbless Lema amemlaribisha Noel nakumtaka kuacha tabia ya kusaliti chama chake cha Chadema.
Tazama Matukio katika picha .
Mwisho .