Author: Geofrey Stephen

Na Mwandishi wet Arusha Mgodi wa Madini ya Tanzanite wa Gem & Rock Venture Uliopo Kitalu B Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara umefungwa kuendesha shughuli za uchimbaji na Wizara ya Madini baada kukaidi Mara mbili kuamuriwa kusitisha shughuli za uchimba pale ulipolalamikiwa na Kampuni ya Franone inayochimba Mgodi wa Kitalu C kwa kushirikiana na serikali Kama mbia Mwenza. Mbali ya Hilo Watalaamu wa Chuo Cha Madini Mkoani Dodoma wanaotarajiwa kuwasili leo Jijini Arusha kupima Madini yaliyokamatwa katika vurugu hizo Kama ni Mali ya Kitalu B au C na hiyo ndio itaondoa utata kwa pande zote juu ya kukamatwa kwa…

Read More

Na Mwandishi wetu ,Simanjiro Mfanyabiashara Maarufu wa Madini ya Tanzanite Jiji la Arusha Joel Mollel Maarufu kwa jina la Saitoti ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Gem & Rock Venture na wenzake saba  wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara kujibu Mashtaka mawili ya shambulio na kukaidi amri ya Wizara ya Madini katika tukio lililotokea march 13 mwaka huu katika Mgodi wa Kitalu C inayomilikiwa na serikali na Mwekezaji Mzawa Onesmo Mbise. Wakisomewa Mashitaka na Mwendesha Mashitka wa Polisi, Mosses Hamilton Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Charles Uiso ilidaiwa kuwa katika…

Read More

Na Richard Mrusha Chunya mbeya. MAMLAKA ya mapato Tanzania TRA Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya imesema kuwa asilimia kubwa ya mapato katika Wilaya hiyo yanatokana na Madini ambapo wachimbaji wadogo wamekuwa na uelewa mpana juu ya kifaa kinachotumika katika kurahisisha ukusanyanji wa taarifa za raslimali hizo. Hayo yamesemwa na kaimu Meneja wa Mamlaka hiyo Osmund Mbilinyi wakati akizungumza kwenye maonesho ya kwanza ya teknolojia ya Madini yanayoendelea kwenye viwanja vya Sinjiriri katika Mkoa wa Kimadini Chunya. Aidha kaimu meneja huyo amesema kuwa lengo kubwa la kuwapo kwenye eneo la maonesho ni kuhakikisha kuwa wanaendelea kutoa elimu kwa wachimbaji pamoja na…

Read More

Na Mwandishi wa A24Tv . Wizara ya Madini imefanikiwa kutaifisha madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilo 4 yenye thamani ya mamilioni ya fedha  kutoka kwa Meneja wa Mgodi wa Gem & Rock Venture,Joel Mollel Maarufu kwa jina la Saitoti aliyevamia na kuchimba katika mgodi wa kitalu C unaomilikiwa na serikali na mwekezaji mzawa Onesmo Mbise. Hayo yalisemwa na Afisa Mfawidhi Wizara ya Madini Mkoa wa Manyara,Mernad Msengi na kusemsa kuwa thamani halisi bado haijajulikana ya madini hayo ya Tanzanite yaliyochimbwa kwa njia haramu na Saitoti akiwa na wafanyakazi wake walioingia kitalu C marchi 12 mwaka huu majira ya saa 6.30…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha . Watanzania waendelea kunufaika Sekta ya Madini, ajira 15,341 zamwagwa, manunuzi ya ndani ya nchi yafikia Dola za Marekani bilioni 2.22_ Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa leo tarehe 16 Machi, 2023 amezindua rasmi mfumo wa ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini (Local Content) na wa utoaji wa huduma kwenye jamii unaofanywa na migodi ya madini (CSR) Dkt. Kiruswa amefanya uzinduzi huo kwenye Jukwaa la Pili la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini linaloendelea jijini Arusha linalokutanisha kampuni za uchimbaji wa madini, watoa huduma wa madini kwenye migodi ya madini na…

Read More