Author: Geofrey Stephen

Na Juliana . Arusha Mkurugenzi wa Shirika la Maasai Stoves Ndugu Kisioki Moitiko Amewataka Wamama jamii ya kifugaji katika kijiji cha Elerai kitongoji cha Olmoti Longido Kutunza na Kutumia Vyema Sola / Majiko ya kisasa Alizozikabidhi kwa lengo la kulinda afya zao Juu ya Moshi utokanao na Matumizi ya Kuni. kisioki Amesema hayo katika zoezi la Ukabidhishwaji wa Umeme wa Jua (sola) Kwa Kaya 50 kati ya 150 waliopo kwenye Malengo Waliokwisha kabidhiwa sola hizo na jumla kupelekea Idadi kufikia kaya mia  200. Sambamba na Kukabidhi sola hizo  Kisioki Amesema Sola hizo zimekuja mara baada ya wanawake hao kujengewa Majiko…

Read More

Na Doreen Aloyce, Dodoma. KAMISHNA wa Sera za ununuzi wa Umma Wizara ya Fedha, Dkt.Frederick Mwakibinga amesema Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ipo katika mchakato wa kuandaa Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024. Dk,Mwakibinga amesema , kanuni hizo zitatoa wigo mpana wa kuwasilisha malalamiko ambapo mabadiliko hayo yatawapa wazabuni fursa ya kushindana kwa haki na uwazi katika zabuni mbalimbali. Dkt.Frederick Mwakibinga ambaye amemuwakilisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Jenifa Omolo ameyasema hayo katika kikao kazi cha kupokea maoni ya uandaaji wa kanuni za Rufani za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 kilichofanyoka…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha Anae zungumza na vyombo vya habari ni Mkurugenzi wa Kilifair ambaye pia ni mwandaaji wa maonyesho hayo ,Dominic Shoo  Meneja Mkuu kutoka hoteli ya Serena Daniel Sambai  akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maonyesho hayo mkoani Arusha.  Atusha .Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki anatarajiwa kuwa mgenirasmi kwenye ufunguzi wa maonyesho ya kimataifa ya Karibu -Kilifair 2024  yanayotarajiwa kufanyika Juni  7 hadi 9 mwaka huu mkoani Arusha . Aidha katika maonyesho hayo wanunuzi zaidi ya 600 wa Utalii kutoka nchi  40 duniani na waonyeshaji pamoja na wadau 468 wa utalii kutoka nchi 37, wamethibitisha kushiriki…

Read More

Na Bahati Hai . Mahakama Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro imemuhukumi Mkazi wa Wilaya ya Longido Mkoani Arusha kwenda jela maisha kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka( 8) wa kike. Siha, Mkazi wa Wilaya ya Longido Mkoani Arusha cha Samweli Mayani (29),mkulima amehukumiwa kwenda kutumikia kifungo cha Maisha jela kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka 8 Mkazi wa Kijiji cha Embokoi Wilayani siha Mshitakiwa huyo alifika katika Kijiji hicho kwa lengo la kufanya kazi za vibarua cha kulima Mwendesha mashitaka wa Serikali David Chisimba mbele ya Hakimu Mkazi mfawidhi wa Mahakama hiyo Jasmine Abdul amesema tukio hilo lilitokea November…

Read More

Na Bahati Hai . Mkuu wa jeshi la Polisi nchini,IGP Camilius Wambura amewataka askari na maofisa wajeshi hilo kufanya kazi kwa nidhamu,haki ,weledi na uadilifu ili kuleta tija kwa nchi bila kusahau kuwatendea haki wananchi. Moshi.Mkuu wa jeshi la Polisi nchini,IGP Camilius Wambura amewataka askari na maofisa wajeshi hilo kufanya kazi kwa nidhamu,haki ,weledi na uadilifu ili kuleta tija kwa nchi bila kusahau kuwatendea haki wananchi. Ametoa kauli hiyo leo Jumatano Mei 22,2024 katika hafla ya kuwatunuku nishani askari na maafisa 25 wa jeshi hilo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa…

Read More