Na Mosses Mashala . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imefanikiwa sana kuongeza ukaribu na wananchi kwa kusikiliza changamoto na kuzitatua kwa haraka kupitia Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi (SNR). Rais Dk.Mwinyi amesema Mfumo wa SNR ni kiungo muhimu kati ya Serikali na wananchi pia ni kigezo cha utawala bora unaozingatia ushirikishwaji wa wananchi. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 3 ya Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi(SNR) tarehe: 16 Machi 2024 katika Viwanja vya Ikulu Mnazi Mmoja. Aidha, Rais Dk.Mwinyi ameeleza kuwa kitengo cha SNR kina…
Author: Geofrey Stephen
Naitwa Dina kutokea Nairobi, Kenya, naweza kusema katika maisha kila jambo huwa na wakati wake, huwezi kulazimisha mambo kutokea wakati muda wake bado hajafika, ni kama kifaranga cha kuku, ukipasua yai kabla ya muda wake huwezi kupata kifaranga. Ndivyo ilivyokuwa katika maisha yangu na yale niliyopitia katika ndoa zangu tatu za mwamzo, kila mwanaume ambaye alinioa alitaka nimzalie mtoto na alipoona muda unaenda bila kushika ujauzito alifunikuza. Hakuna ubishi ni kwamba walishindwa kujua ni muda wangu wa kuzaa mtoto haujafika, nilikuwa najipa moyo kuwa kuna muda wangu utafika lakini kuna muda nilikaa na kuwa na mawazo sana hasa nilipoachana na…
Juma mosi ya leo March 16 karibu kutazama habari kubwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24Tv. Mwisho .
Na Mosses Mashala Zanzibar . RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewashukuru Jumuiya ya Zawiyatu Qadiria Tanzania kwa kumuombea Dua Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa Msikiti wa Masjid Ngamia Welezo Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe: 15 Machi 2024. Aidha Rais Dk.Mwinyi amehimiza umuhimu wa kuendelea kuiombea Dua Nchi na kudumisha amani na utulivu.
Na Mosses Mashala . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole Ikulu Zanzibar kutoka kwa Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Hafidh Ameir kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mstaafu, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja . Mwisho .
Mwandishi wetu,Arusha. Wakulima zaidi ya 300 kutoka mikoa ya Geita Iringa Mbeya Morogoro Mwanza Shinyanga na Tabora wametakiwa kuacha tabia ya kununua mbegu minadani badala yake wanunue katika mawakala waliosajiliwa. Akizungumza katika mafunzo ya wakulima yaliyotolewa na wataalamu wa sayansi ya mimea wa kampuni ya Balton Tanzania inayoingiza na kusambaza mbegu nchini Tanzania Afisa Mfawidhi wa taasisi ya Kuthibiti Ubora wambegu Tanzania, Kanda ya Kaskazini, Dk Munguatosha Ngumuo alisema ni muhimu kununua mbegu zilizothibitishwa. Dk Ngomuo alisema wakulima wanapaswa kuacha kilimo cha mazoea badala yake wajifunze kulima kisasa kwa kutumia mbegu bora ambazo zimethibitishwa. Mkurugenzi Mtendaji wa Balton Tanzania Chris…
Karibu Arusha 24Tv leo March 2024 kitazama kilicho Andikwa katika Magazeti ya leo ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho.
Na Mosses Mashala Zanzibar . Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika Ikulu Zanzibar tarehe: 14 Machi 2024 Mwisho .
Na Lilian Kasenene,Morogoro Shirika la Uhifadhi Tanzania(TANAPA) kwa kushirkiana na Mamlaka ya usafiri wa anga nchini(TCAA) na mashirika 14 ya ndege wameanza kuchukua hatua za kuimarisha zaidi usalama na usafiri wa anga ndani ya hifadhi za taifa baada ya idadi ya watalii kuongezeka kutumia usafiri huo ili kuzifikia hifadhi mbalimbali kwa shughuli za utalii. Afisa uhifadhi mkuu anayesimamia viwanja vya ndege kutoka Tanapa Chritine Bgoya amesema hayo katika kiwanja cha ndege cha Kikoboga kilichopo kwenye hifadhi ya taifa ya Mikumi wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo washiriki 19 walihudhuria Bgoya amesema wote kwa pamoja wamekutana…
Karibu Arusha2rtv leo tarehe 14 kutazama kilicho Andikwa kayika magazeyi ya lro ya Tanzania mbele na nyuma Hii ni A24tv. Mwisho .