Author: Geofrey Stephen

Na Richard Mrusha Salaam MWENYEKITI wa Shirikisho la Jumuiya ya Afrika Mashariki Josephat Rweyemam Amewataka wanachama na wajasiliamali kushiriki maonyesho ya wajasiliamali yatakayofanyika nchini Burundi (Bujumbura) mwishoni mwa mwaka huu. Amesema maonyesho hayo yanayotambuliwa kama JuAKALI Nguvu Kazi Afrika Mashariki yanatarajia kuanza Disemba 5 _ 15 na kwamba maonyesho hayo ni endelevu na yaliaza mwaka 1999. Mwenyekiti Rweyemam ameyasema hayo Novemba 14 mwaka huu jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo Amesema ilitiwa Saini ya kuunda Jumuiya ya Afrika Mashariki na wakati huo Marais Kwa pamoja walikubali kuwepo Kwa maonyesho hayo na yatazunguka Kwa Kila nchi.…

Read More

Na Richard Mrusha MBUNGE wa Jimbo la Kwela na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge na uwekezaji wa mitaji ya umma ,Deus Sangu Ameongoza kamati hiyo kwa kufanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali inayoendeshwa na Kampuni ya SUMAJKT ya uzalishaji Mali. Amesema kipekee wamepata fursa ya kutembelea sehemu kuu mbili kwanza wametembelea Kampuni tanzu ya uzalishaji Kwa maana ya uzalishaji nguo pia kampuni tanzu nyingine ya uzalishaji Maji na kikubwa nikuendelea kuipongeza Serikali inayoongozwa na Rais DKT.Samia Suluhu Hassan kwanamna ambavyo ameiwezesha SUMAJKT katika uwekezaji . Sangu ameyasema hayo Leo Novemba 15 mwaka huu jijini Dar es laam, ambapo…

Read More

Na Richard Mrusha Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameutaka Mgodi wa Dhahabu wa Buckreef kuhakikisha unatenga kiasi cha dhahabu kwa ajili ya kusafisha kwenye viwanda vya ndani au kuuza katika masoko ya ndani ikiwemo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ambayo imeanza kununua dhahabu kwa ajili ya akiba. Ametoa rai hiyo leo Novemba 13, 2023 mkoani Geita alipotembelea mgodi huo kukagua maendeleo ya shughuli za uzalishaji pamoja na kuzungumza na kusikiliza changamoto zinazoukabili mradi huo. Dkt. Kiruswa amesema kuwa Serikali imeamua kutumia dhahabu inayozalishwa hapa nchini ili kuimarisha akiba ya fedha za kigeni kwa kuhakikisha Benki Kuu ya Tanzania…

Read More

Na Geofrey Stephen Arusha. Uongozi wa chama cha wakulima Tanganyika (TFA) kimesema kuwa wanatarajia kuanza kuwapatia gawio la hisa wanachama wake. Akizungumza jijini Arusha kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa chama cha wakulima Tanganyika (TFA) mkurugenzi mtendaji Justine Shirima amesema kuwa kwa mwaka wa fedha ulioanza octoba 2023 hadi 2024 wanachama hao wataanza kupata gawio. “Miaka mingine kampuni ilishindwa kutoa gawio kutokana na ilikuwa inajiendesha kwa hasara huku gharama za uendeshaji na matumizi yakiwa makubwa kulinganisha na mapato yaliyokuwa yanaingiza” alisema na kuongeza … “Kuanzia mwakani wanahisa wa kampuni ya TFA wataanza kunufaika na gawio kutokana kupungua kwa hasara na…

Read More